Ni hatari kuji-expose kwenye mitandao!

ni mshamba ana matatizo ya ulimbukeni na ni mtu anayejivuna sana mwache majambazi yamjie huyo
dada mmojawapo wa kitanzania , akiwa na bulungutu lake la vijisenti, huku ni kuwaalika majambazi waje kukubaka. hatari sana.

mangeee.jpg
 
Aliyekwambia ni original na sio feki noti nani? Siku hizi kuna viwanda vya kutengeneza feki kibao mitaani.
 
nakula kwanza mzigo alafu mambo mengine baadae
Wewe kama ni jambazi unabeba silaha za moto au baridi ila soksi ya kati hubebi hivyo unakula mzigo bila kujua kama TBS imeuhakiki na unaondoka na ngoma. Unamjua huyo au ??? Uliza uambiwe.
 
Huyo demu ni malaya tu, hapo anatoa tafsiri kuwa ukimtaka ni lazima uwe na mkwanja mrefu.

The! The! The! Hapo kwenye rangi, hapo huwa ana mawaziri wake hao, eti, eti, huwa wanakamsemo kao kwamba, eti hawahesabu matusi, bali wanahesabu mahela.
 
matendo ya mtu hudhihirisha anachofikiri ikiwa ni pamoja na uwezo wa mhusika wa kufikiri.
kama ni mtanzania basi inabidi tuangalie anawakilisha asilimia ngapi ya watz na ikiwa reasonable basi usimbishie yule anayesema kuwa "mitanzania ndivyo tulivyo"
 
haha! umaskini kazi kweli........wenye pesa hawapati shida kujionyesha......kwanza wanakua washazizoea sasa huyo ndo kwanza kajichanga hapo shida tupuuu.........
 
Hivi hata ukiwa jambazi..... Utaanza na lipi?
Jambazi nae ana moyo kama binadamu wengine!!!
-Mkuu umeona mbali sana, bila shaka hapa Kaka Jambazi ataanza na Tunda kwanza, kisha anamaliza na hivyo vijisenti! Actually Jambazi nae ni wa-kiume kama wewe''''! Hahaaaaa....
 
-Mkuu umeona mbali sana, bila shaka hapa Kaka Jambazi ataanza na Tunda kwanza, kisha anamaliza na hivyo vijisenti! Actually Jambazi nae ni wa-kiume kama wewe''''! Hahaaaaa....
of coz!
Jambzi lazima awe mwanaume.
Ndo tunavojua.
Swala ni je ataweza kuondoka na mijihela amwache huyo mdada mzuri ka jini?
Likely atapora vyote!
 
Back
Top Bottom