Inashangaza kuona jinsi watu wanavyojiachia mitandaoni kama vile ni sehemu salama

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Caution, Caution, Angalizo , Angalizo

Sio wote wanao ku follow kwenye mitandao ya kijamii wanakupenda au wanakutakia mema binadamu ni wale wale wa Uraiani ndio wa kwenye mitandao , tegemea kuwa na wafuasi wa kila aina , wachawi , Majambazi , wambea wenye husda , Don't try to live a fantasy life impressing people also don't expose your life . Bullet proof your life.
 
Back
Top Bottom