Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

Nilipoteza 1.5M nikiwa na miaka 20 niliingiza pesa hiyo kwenye biashara ambayo sikuifanyia utafiti wowote wala kuomba ushauri kwa mtu yoyote kwakua nilishawishiwa na mtu nilie muamin Sana lakin sikirudisha hata senti 1 ya pesa ile baada ya kuitoa
.. naamin lile lilikua funzo tosha kwenye maisha yangu, ni story ambayo sikuwahi kumsimulia mtu yoyote kwakua niliamin kutokumsimulia mtu yoyote ndo njia rahisi ya kulisahau lile tukio.
 
Mkuu mzigo ulikuwa mwepesi kiasi gani mpaka usione mabadiliko kwenyw uzito wa gari???
 
Ukisema ivo unanikumbusha mwaka jana.
Nimetoka kumaliza chuo sasa sina mchongo wowote basi braza yangu ni dereva gari za soda kwenda mtwara akawa ananichukua kam kondakta wake na kum-assist kweny kuuza soda na ushushaji.
Iyo siku tumefika mbagala kuna jamaa akapakia viroba 10 vya mchele vya kilo 20 (alikua anaagiza viende masasi).
Ilikua jion basi safar imeanza fresh tunafik kibiti tubadilishane nimsaidie kuendesha gari,ile tumeshuka kukagua gari tunakuta holla.mzeebaba iyo siku ilikua siku mbaya saan kwan nilijua kabisa safar haina hela,ata tukipata hela itakua haina maan kwan itabid tulipe mchele wa watu..alaf kipind icho maza hausi kakaza anatak kodi so nilikua namake saan ili nipunguze kelele.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda jangwani siku ya mwisho wa campaign 2015 nikazungusha mikono "Mabadiliko" then nikaenda kumpigia kura jamaa akarudi kule Lumumba.Mpaka leo mtaji wangu wa kura siutaki tena.Sitapiga kura tena.Nimefirisika kisiasa.
Umezingua kweli kweli angalia maisha unayoishi sasa.
 
Inaonekana hujawai hata kushika hata milion moja. Kwa mtu kama wewe kama ulishika izo pesa una nafasi kubwa sana ya kurudi. Ila kwa sababu ujawahi kushika basi unajaribu kutushika sisi 😎😎😎
 
Yani unamuingizia mshkaji 3M.
Nyie jamaa aisee
 
Dahh ..umenihuzunisha San ila pia mm nimepta hasra jaman mwak 2018 nilipoteza ajira yangu ktk kampuninya sola bas nilikuwa nasave sana ktk mshahra wangu hvyo nilishi kwa perdiem tu bila kugusa msharaha mm nilikuwa cpend mademu wa ghla bas niliweza kusave Kama milioni 14 hv pmj na kulipwa malilimbikozo na pesa za kurudishwa nyumbn bas .bas bhna nikaenda kununua bajaja mpy uwez amuni ile mabajaj ajamaliza ata mwaka nikauza milion nne na nusu ..mkp sas cjajenga Wala nn nimetulia tu na maisha yamekuwa magumu mno na Kaz cna Wala kuoa Bado Ni hasara Sana
 
Unafikiri ulikosea wapi ulipopata hizo 14m ili mwingine asikosee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…