Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

ulivyo na haraka na mshahara sidhani kama huwa una "save'' hata kidogo,kama ulikuwa umeshapanga kutoka out weekend ndo imekula kwako.
Tanzania uionayo sasa hivi haikuwa hivi miaka 10 iliyopita,fuatilia historia ya nchi yako ujue ilipotoka na sasa inaelekea wapi?
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Fanya biashara acha kuwa mtumwa wa mshahara wewee.
 
ulivyo na haraka na mshahara sidhani kama huwa una "save'' hata kidogo,kama ulikuwa umeshapanga kutoka out weekend ndo imekula kwako.
Tanzania uionayo sasa hivi haikuwa hivi miaka 10 iliyopita,fuatilia historia ya nchi yako ujue ilipotoka na sasa inaelekea wapi?
Babu yangu, historia unaweza kuifuatilia huku ukiwa na njaa? Kweli?
 
Mshahara jamani mshahara, hebu lipeni basi. Sisi hatuna hizo posho mnazojilipa ninyi kupitia kodi zetu jamani.
 
Kuna watumishi wa serikali wengine ni shida kama kuna vitu ambavyo serikali hii imejitahidi kufanya ni kulipa mishahara kwa wakati na ifike mahali tusiandike vitu vya kijinga kama hivi inaonesha namna gani akili zetu zilivyo kama mshahara umekuwa ukitoka kila tarehe 22-23 unalalamika nini mbona sasa tumeona tarehe 23 tumeuona umetoka vitu vingine serikali tunaisingizia tu tuwe waungwana
 
Ninyi huko kwenye chama mumelipwa sivyo? Sisi bado hadi leo hii kaka angu.
 
Back
Top Bottom