Ni halali kumsokota mtoto wa kiume rasta?

ngoja rastafarians waje wakujibu?

Peace and love
Rastafrie ni imani anayokuwa nayo mtu hata asiposokota dreadrock kichwani.Ni hali fulani ambayo Jah aliwapa waja ili ktk hiyo wamjue yeye.Kwahiyo kwa yule mama kumsokota mwanae halfu ye asisokote sio tatizo.Kuwa na rasta kichwani msingi mmoja ktk misingi mingi ya Rastafarie.Unaweza kukuta hana rasta ila kashika msingi wa kutokula nyama(kama hana nyota ya simba) au kuvuta ganja.Nachohisi yule mama anataka kuirisisha ile imani kwa mwanae ambalo ni jambo zuri sana.

ONE LOVE IN PEACE OF JAH
 
na rastafari si lazima ale ganja GANJA ROLLER
 
Last edited by a moderator:
Huyu vipi
 
Attachments

  • diva.jpg
    diva.jpg
    33.3 KB · Views: 63
Kuweka dread-locks ndio ushoga? Wameiga wapi? Unajua asili ya dread-locks? Masai wana dread-locks, nao ni mashoga? Mbona unapoteza muda wako kufuatilia maisha ya watu? Huna shughuli za kufanya?

Hapo kweli shughulu pevu kumbe bob marley na marasta wwngine ni mashoga...😀😀😀:

Na huo upambaji wa huyo mtoto umehusishwa na nini hasa?poda,wanja,lipstick and any other laidies staffs ama ni upambaj gani??
 
Unampamba Mtoto Unamuweka Kikike Kike
 
Unampamba Mtoto Unamuweka Kikike Kike

Oukey...shida husemi huyo mdada alimuweka vipi yaan,kamvalisha gauni ama vipodozi nilivyosema hapo juu.Ila kama aloonekana kike kike ni hatari kwa baadae.
 
Back
Top Bottom