Ni halali kumsokota mtoto wa kiume rasta?

Ni halali kumsokota mtoto wa kiume rasta?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,263
Nikiwa Maeneo Maeneo Miyomboni Stand Ghafla Namuona Mama Akiwa Na Mtoto miaka 4-5 Ambaye Amesokotwa Rasta Na Kupambwa Pambwa Kiukweli Alipendeza, Awali Niridhani Ni Mtoto Wa Kike Lakini Baada Ya Kumsogolea Nikagundua Ni Mtoto Wa Kiume.

Kwanini Umpambe Mtoto Wa Kiume Kiasi Hicho Tumeiga Mambo Ambayo Hata Hayaigiki. Unamsokota Mtoto Wa Kiume Dread Rocks Ili Iwaje? Akija Kuwa Punga Utalalamika? Nimegundua MASHOGA TUNAWAANDA WENYEWE.
 
Kasokotwa nywele zake au kasukwa hizi artificial human hair?
 
We mpumpavu humjui mzanzibar wala mpemba kwani zanzibar c ndo pemba imo.
 
Si halali, lkn mengi si ya halali watu wanafanya including me and you
 
Ni utamaduni wa hyo jamii?? Au kuiga mambo ya jamaica??
 
Nikiwa Maeneo Maeneo Miyomboni Stand Ghafla Namuona Mama Akiwa Na Mtoto miaka 4-5 Ambaye Amesokotwa Rasta Na Kupambwa Pambwa Kiukweli Alipendeza, Awali Niridhani Ni Mtoto Wa Kike Lakini Baada Ya Kumsogolea Nikagundua Ni Mtoto Wa Kiume.

Kwanini Umpambe Mtoto Wa Kiume Kiasi Hicho Tumeiga Mambo Ambayo Hata Hayaigiki. Unamsokota Mtoto Wa Kiume Dread Rocks Ili Iwaje? Akija Kuwa Punga Utalalamika? Nimegundua MASHOGA TUNAWAANDA WENYEWE.

Kuweka dread-locks ndio ushoga? Wameiga wapi? Unajua asili ya dread-locks? Masai wana dread-locks, nao ni mashoga? Mbona unapoteza muda wako kufuatilia maisha ya watu? Huna shughuli za kufanya?
 
Tafuta maana halisi ya dreadlocks mkuu... mimi sioni kama ni Tatizo, mbona samson ktk biblia alikuwa na dread?
 
Kampambaje? The little boys nilowaona na dreads are so adorable. Mapunga hawaweki dreads.Wanaweka dawa na kubana km demu
 
Mkuu usiumie moyo bure!
Kama kasokota nywele zake haina shida na kama kasokota sababu ya iman ya rastafar bas kapatia mkuu.kama ww n mkristo utakubaliana kuwa mama wa samson aliagzwa kumuandaa mwanae akiwa bado tumbon kuwa wembe usipite kchwan mwake.kama kamsokota sababu ya iman yuko sahihi coz you cant judge oneˊs religion mkuu
 
Back
Top Bottom