Ni halali kuingilia ugomvi wa mke na mume

Ni halali kuingilia ugomvi wa mke na mume

Jamaa kakuta ugomvi wa mke na mume.. Akawaza namna ya kuamua ugomvi ule :
JAMAA:Ndugu yangu mwanamke hapigwi, kama unaona anakuzingua muache aende zake, wewe oa mwingine, utakuja kumuua bure.
MUME:Aisee ndugu yangu Nashukuru Sana Kwa ushauri wako ngoja niandike talaka kabisa.
MKE:Shemeji haya mambo yetu hayakuhusu, mwaya mume wangu nipige tu maana namimi nimezidi... Nipige babangu.
 
Utakiwi kuingilia manunuzi ya mtu mwingine ..’mtu kalipia pesa mingi kupata mwanamke we uje amua ugomvi kizembe hivyo’

Wenda wao ndio desturi yao kuamsha hisia za mapenzi kati yao
 
Si vizuri na wala haipendezi kuingilia ugomvi wa mke na mume maana pengine mume anataka haki yake ya ndoa na mke hataki kutoa, je wewe unaekwenda kuingilia huo ugomvi unaweza kumpa huyo mume haki yake ya ndoa?! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji15][emoji15][emoji15]
Ugomvi wa mke na mume hauingiliwi.
Kwanza ugomvi ukimaliza wewe uliyeingilia ndio utaonekana mbaya na wote wawili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mkuu acha tu vitu unatakiwa kupotezea. .juzi jumapili mtaa flani nilikuwa napita jirani tu makazi yangu, kuna jamaa alichukua mchepuko akawa ana mnyesha bia sasa wambea wakampa taarifa mke wa huyo jamaa ametoa ofa ya bia kwa mchepuko. Yule mama kuja ni mjamzito wa miezi tisa akamvamia mchupuko wa mume wake pub. .Jamaa aliinuka alimtia mikofi miwili ya nguo huyo mjamzito hadi akaanguka chini, sasa fujo zinaendelea bar med akaja kuhamilia jamaa aache fujo, yule Jamaa hakulemba hapo hapo kamtia huyo bar medi vibao usoni jamaa huko akasep zake hakun mtu aliingilia ugomvi wao.
 
Back
Top Bottom