Ni katika mji wa Moshi. Utakuta vijana wanavizia magari kwamba umekanyaga mstari ambao kiukweli umeshafutika kabisa na unaambiwa utoe faini ya shilingi 50.000/= Elfu hamsini. Nauliza, kama mstari wenyewe umeshafutika, nitauonaje nikiwa kwenye gari??
Halafu wapo tiyari na breakdown ati walivute uende kuelezwa kosa ofisini. Ni nini maana ya funguo za gari langu?? Nauliza tu jamani, yaani nilikasirika mno. Dhuluma hizi zitawafikisha wapi??