Ni Gynaecologist bora kwa Tanzania

Chocolate25

Member
Feb 1, 2021
13
19
Habari wana JF.

Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tanzania au Dar es salaam...
 
Pale Ilala Bungoni kuna hospitali inaitwa SMV ni ya kinamama tu. Ile hospital ni ya wamama wa kiislam ila wanapokea dini zote. Kuna ma gyno wengi sana wenye uzoefu bora na madaktari bingwa wote wamama kwa hiyo watajua tatizo vyema zaidi. Fika hapo. .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom