Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

Mkuu hiyo attachment uliyoiweka na muvi ninayoijua nahisi ni tofauti maaana "Saving private Ryan" ninayoijua ni ile ya Tom hanks na Matt Damon lkn kwny cover hapo naona watu tofauti..vipi mkuu zipo mbili au!?
Mimi nna hiyo Saving private Ryan, na wakat huohuo Kuna movie hiyo hiyo kava lake limeandikwa Dream walk, kila kitu sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom