Ni fedheha mume kulishwa na mkewe

Ni fedheha mume kulishwa na mkewe

Siyo kila siku unakuwa nazo, kuna siku zingine hali inakuwa siyo nzuri. Kama mke anaweza kukulisha haina ubaya. Madhalan umeachishwa kazi, kusimamishwa au shughuli zako zimesimama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wako, unakubali tu kulishwa na mke wakati ukitafakari na kutafuta ufumbuzi, maana yak kurudi kwenye hali yako.
 
Inatoka kitabu gani tuhakikishe
ni kitabu gani
Samahani hiyo biblia ni ya vision gani?
Hilo andiko liko wapi kwenye Biblia?
Nipe ni mstari ktk bible?
Ni kitabu gan na mstari upi?
Hicho kitabu kinaitwa SIRA katika vitabu vilivyoondolewa katika baadhi ya Biblia ila Biblia Toleo la KATOLIKI
Vitabu hivyo vinaitwa vitabu vya Deuterokanoni

  • Tobiti
  • Yudithi
  • Hakima za Solomoni
  • Hekima ya Yoshua Mwana Sira (Eklesiastiko)
  • Bakuku
  • Wamakabayo
Hivi vitabu sijui ni kwa nini viliondolewa, lakini Biblia hizi bado zipo mitaani hata Chama cha Biblia wanakiuza kitabu hicho
 
Hahaaa wanaopenda masugar muny watatukana saba m naebda
 
ww ndoa huijui na wala mke hauna ndo maana hata ulicho andika hapa hukijui, unaposema kulishwa unamaanisha nini acha ushamba ww siku izi tunasaka mkwanja wote anaye wahi kupitia sokoni ndo anafanya shopping ya chakula na mambo mengine ww endelea tu kwenda sokoni kila siku wakati wenzio tuna panga miradi ya maana ww unawaza kumlisha mkeo
 
Hicho kitabu kinaitwa SIRA katika vitabu vilivyoondolewa katika baadhi ya Biblia ila Biblia Toleo la KATOLIKI
Vitabu hivyo vinaitwa vitabu vya Deuterokanoni

  • Tobiti
  • Yudithi
  • Hakima za Solomoni
  • Hekima ya Yoshua Mwana Sira (Eklesiastiko)
  • Bakuku
  • Wamakabayo
Hivi vitabu sijui ni kwa nini viliondolewa, lakini Biblia hizi bado zipo mitaani hata Chama cha Biblia wanakiuza kitabu hicho

Ukifatilia kuhusu historia ya biblia tafahamu kwamba vitabu vilivyopo vilitokana na Mkutano wa Viongoz wa Kanisa huko Uturuki ambapo walikubaliana kuhusu utaratibu wa kufanya misa na vitabu vya kutumia. Hapo zamani vitabu vyote vilitoka katika maandiko yaliyotolewa katika lugha ya kiebrania except hivi 7 vilikua katika lugha ya kigiriki. Wakati Luther anaanzisha kanisa lake alivitoa hiv vitabu kwenye bible ingawa alikiri kwamba vina mafundisho ya msingi kwa ajili ya wanadamu.
 
nashukuru nimepata mwanga, ni kweli Walutheri hawavitumii
nitafuatilia zaidi
 
Back
Top Bottom