Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

Wabongo bana mtu anauliza kitu kingine wanaandika vingine, Mimi kwenye kusoma naangalia kitu kinacholipa hii haimaanishi kuwa sijui kwamba ajira akuna au ujasiriamali unalipa mambo ya kusoma kitu sijui unachokipenda uwo ni uzembe fata pesa wewe
 
Unatafta lawama. Utakuja laumiwa umemsababishia matatizo makubwa maishani atakapo soma na kufaulu course uliyomshauri afu aje aishie vijiweni tu kama ww dadaake
 
POLE KWA CHANGAMOTO NAOMBA NIONGEZEE JIBU LANGU , PIA MKUMBUSHE KUWA MFANO SASA WALIMU WA SEKONDARI WALIOANZIA MSINGI WANARUDISHWA MSINGI PASIPO KUANGALIA ANA PHD,MASTERS AU BA.HII INA MAANA KUWA BARUA YAKO YA KUAJIRIWA YA KWANZA NDO MKATABA RASMI NA MWAJIRI,NA NDO ILOKUPA CHEKI NAMBA.SASA HAWARUHUSU KUWA NA CHEKI NAMBA ZAIDI YA MOJA,YAANI UKIINGIA UMEINGIA NA UKITOKA UMETOKA,HATA UHAMIE WIZARA IPI UTATUMIA CHEKI NAMBA YA MWANZO.
ASOME ANACHOPENDA APAMBANE NA HALI ATAKAYOIKUTA HUKO MBELE BAADA YA KUMALIZA,KWA SASA WATU WA UGAVI,MANAGEMENT,UTATHIMIN,ARDHI NA UHASIBU NDO WENYE KESI NYINGI ZA MATUMIZI MABAYA YA OFISI
 
Hakuna koz inayolipa apa bongo mwambie asome anachopenda yeye,,,,, kama anasoma anawaza kazi nzur, pesa nzur, mshahara, mwambie ajiandae pyschologically hii nchi ni ya magu, sio ya Jakaya
ntantau zingatia huu ushauri.

Kama kuna wengine wapo olevel hata wakipata div.01 washauri waende VETA
 
Mwambie asome ya Medical lab general alafu ajiajiri !!! Fursa za ajira ziko hapa..au akiweza asome bachelor ya histopathology ale maisha
 
Medical lab ni bonge la kozi na rahisi kujiajiri kwa alipofikia mi naona aongeze digrii ya medical lab nafikiri utaongezeka mwaka 1 tu na digrii hizi zingine ambazo sio za afya...trust me kuna watu nawafahamu wana certificates na diploma za medical lab tu leo wanasehemu zao na % kubwa ya sisi watanzania huwa atupendi usumbufu wa kwenda Mahospital huwa tunapeleka sample maabara moja kwa moja
 
Back
Top Bottom