Ni dhahiri RC Makonda ni mshamba na hafikirii kwa kina

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,084
114,614
Mtu makini mara nyingi anapotaka kufanya uhuni hutumia akili nyingi sana kufanya uhuni wake,hutafakari kwa kina akishirikisha akili yake na ujanja wake afanyeje uhuni wake ufanikiwe na bado abaki salama bila kujulikana.

Mfano mzuri ni maofisini,kutokana na uwepo wa ufuatiliaji wa matumizi ya fedha,wapigaji makini hupiga kwa kutumia akili na ili ugundue ni lazima pia uwe na akili nyingi na ujanja wa kiwango chao.

Nimekuwa nikitafakari uhuni uliofanywa na RC Makonda toka kipindi anatangaza list ya wauza madawa,ni dhahiri kabisa Makonda Paul sio kwamba ni mshamba wa kiwango cha juu tu,Bali shule yake haijamsaidia. "Mhuni" hawezi kufanya uhuni akajianika wazi namna ile. Ndio maana kina Mange Kimambi wanamuokota mchana kweupe na kumuanika kwa sababu sio intelligent

Nitatoa mifano. Hapa ni town Dar,unapotaka kufanya uhuni tumia akili sana ukitumia uhuni wa kijijini inakuwa unawapa mzigo wanaokubeba

1.Kuwa mbwatukaji na unatumia cheti cha mtu.
Watu wengi tu wanatumia vyeti vya wengine. Kwa mtu aliyekuwa kafika rank ya Makonda alitakiwa kukumbuka hili na kuwa makini zaidi kwa sababu jambo hili lisingeweza kuwa siri. Ni kitu cha ajabu sana wewe umechafuka kiasi kile unaopata wapi ujasiri wa kuwa-attach wengine. Tena ingekuwa mtu makini asingekubali cheo kile unless hata angeomba awe RC wa Geita huko ambako hakuna mbilingembilinge.

2.Kumtumia "insane" kumchafua Gwajima.
Makonda hakutumia akili kabisa katika kumtumia yule dada kutaka kumchafua Gwajizzo. Na ndio maana hata dili ikabumburuka kabla hata haijaruka hewani. Ukitazama cheti cha hospitali utaliona hili,tena alivyomshamba amekiandika kile cheti mwenyewe,halafu akaingia front mwenyewe kulazimisha "kipindi chake" kichezwe. Huu ni ushamba.

3.Kuvamia ofisi za Clouds akiamini hatajulikana. Hivi hakuweza kufikiria hata kama kuna CCTV mle? Ni bora hata angewatuma watu wamfanyie kazi. Halafu anawatisha watu kwamba watafungwa miaka sita bila kwenda mahakamani,huu ni ushamba wa kiwango cha lami.

Nimesoma kwamba Makonda aliwaaonya wasitoe taarifa kwamba amefamia kituo. Huu ni ushamba, unawezaje kuwaziba midomo watu wale.

4.Kumuwekea loud speaker Mh.Rais
Mara kadhaa Makonda ameonekana kuongea na Rais akiwa kuweka loud speaker ili kuwaonesha watu yeye ni nani. Huu ni ushamba,"wahuni" hatuhitaji ujiko wala kutaka watu wajue sie ni kina nani. Kwa mtu wa namna ile hata kumuamini ni ngumu kwa sababu ni dhahiri hawezi kutunza siri

Hakuna ubishi kwamba mtu kama RC wa jiji kubwa ni lazima kunakuwa na siri kadhaa na Rais iwe za nia mzuri ana mbaya. Ndio maana hata wazushi wanazusha kwamba pengine Rais anaogopa kumtumbua Makonda kwa kuhofia kuvuja kwa siri maana hata yeye anajua kijana wake ni waruwaru

5.Kuweka plate namba ya RC kwenye gari binafsi
Huu ni ushamba wa madaraka. Na sio ethical kabisa,yaani ofisi yote ya RAS umekosa magari mazuri ya kutumia mpaka unaweka plate namba ya heshima kwenye gari binafsi?

Kwa hiyo uteuzi wa RC Makonda eidha haukuzingatia upekuzi au haikufanyika kwa kina. Kwa sababu kama upekuzi ungefanyika,kwa kuzingatia tu rekodi zake za chuo Makonda asingependekzwa kuwa RC Dar. Hata record za chuo tu kwa namna alivyokuwa akifeli ni ushahidi tosha kwamba mtu huyu anauwezo mdogo wa kufikiria kwa hiyo kumpa jiji kubwa kama Dar ingekuwa kumpa mzigo. Ni busara angepewa size yake
 
Yatawatoka mengi tu! Kazi zinaendelea. Kinachofanyika sasa, vijiwe karibu vyote vya "wahalifu wakuu" vimevurugwa; wamepaniki!
=====
Mtu unajiuliza, inakuwaje issue ya kutokomeza janga ambalo linaweza kupoteza kizazi chetu(madawa ya kulevya) haiungwi mkono lakini vitu vyepesi kabisa ndivyo vinapewa kipaumbele tena na watu wazima! Kulikoni?
 
Mtu makini mara nyingi anapotaka kufanya uhuni hutumia akili nyingi sana kufanya uhuni wake,hutafakari kwa kina akishirikisha akili yake na ujanja wake afanyeje uhuni wake ufanikiwe na bado abaki salama bila kujulikana.

Mfano mzuri ni maofisini,kutokana na uwepo wa ufuatikiaji wa matumizi ya fedha,wapigani makini hupiga kwa kutumia akili na ili ugundue ni wazima pia uwe na akili nyingi na ujanja wa kiwango chao.

Nimekuwa nikitafakari uhuni uliofanywa na RC Makonda toka kipindi anatangaza list ya wauza madawa,ni dhahiri kabisa Makonda Paul sio kwamba ni mshamba wa kiwango cha juu tu,Bali shule yake haijamsaidia. "Mhuni" hawezi kufanya uhuni akajianika wazi namna ile.

Nitatoa mifano. Hapa ni town Dar,unapotaka kufanya uhuni tumia akili sana ukitumia uhuni wa kijijini inakuwa unawapa mzigo wanaokubeba

1.Kuwa mbwatukaji na unatumia cheti cha mtu.
Watu wengi tu wanatumia vyeti vya wengine. Kwa mtu aliyekuwa kafika rank ya Makonda alitakiwa kukumbuka hili na kuwa makini zaidi kwa sababu jambo hili lisingeweza kuwa siri. Ni kitu cha ajabu sana wewe umechafuka kiasi kile unaopata wapi ujasiri wa kuwa-attach wengine. Tena ingekuwa mtu makini asingekubali cheo kile unless hata angeomba awe RC wa Geita huko ambako hakuna mbilingembilinge.

2.Kumtumia "insane" kumchafua Gwajima.
Makonda hakutumia akili kabisa katika kumtumia yule dada kutaka kumchafua Gwajizzo. Na ndio maana hata dili ikabumburuka kabla hata haijaruka hewani. Ukitazama cheti cha hospitali utaliona hili,tena alivyomshamba amekiandika kile cheti mwenyewe,halafu akaingia front mwenyewe kulazimisha "kipindi chake" kichezwe. Huu ni ushamba.

3.Kuvamia ofisi za Clouds akiamini hatajulikana. Hivi hakuweza kufikiria hata kama kuna CCTV mle? Ni bora hata angewatuma watu wamfanyie kazi. Halafu anawatisha watu kwamba watafungwa miaka sita bila kwenda mahakamani,huu ni ushamba wa kiwango cha lami.

Nimesoma kwamba Makonda aliwaaonya wasitoe taarifa kwamba amefamia kituo. Huu ni ushamba, unawezaje kuwaziba midomo watu wale.

4.Kumuwekea loud speaker Mh.Rais
Mara kadhaa Makonda ameonekana kuongea na Rais akiwa kuweka loud speaker ili kuwaonesha watu yeye ni nani. Huu ni ushamba,"wahuni" hatuhitaji ujiko wala kutaka watu wajue sie ni kina nani. Kwa mtu wa namna ile hata kumuamini ni ngumu kwa sababu ni dhahiri hawezi kutunza siri
Hii ni tafsiri yako,ila yeye anajua anachofanya km ww unavyojua unacho andika. Pole
 
Mtu makini mara nyingi anapotaka kufanya uhuni hutumia akili nyingi sana kufanya uhuni wake,hutafakari kwa kina akishirikisha akili yake na ujanja wake afanyeje uhuni wake ufanikiwe na bado abaki salama bila kujulikana.

Mfano mzuri ni maofisini,kutokana na uwepo wa ufuatikiaji wa matumizi ya fedha,wapigani makini hupiga kwa kutumia akili na ili ugundue ni wazima pia uwe na akili nyingi na ujanja wa kiwango chao.

Nimekuwa nikitafakari uhuni uliofanywa na RC Makonda toka kipindi anatangaza list ya wauza madawa,ni dhahiri kabisa Makonda Paul sio kwamba ni mshamba wa kiwango cha juu tu,Bali shule yake haijamsaidia. "Mhuni" hawezi kufanya uhuni akajianika wazi namna ile.

Nitatoa mifano. Hapa ni town Dar,unapotaka kufanya uhuni tumia akili sana ukitumia uhuni wa kijijini inakuwa unawapa mzigo wanaokubeba

1.Kuwa mbwatukaji na unatumia cheti cha mtu.
Watu wengi tu wanatumia vyeti vya wengine. Kwa mtu aliyekuwa kafika rank ya Makonda alitakiwa kukumbuka hili na kuwa makini zaidi kwa sababu jambo hili lisingeweza kuwa siri. Ni kitu cha ajabu sana wewe umechafuka kiasi kile unaopata wapi ujasiri wa kuwa-attach wengine. Tena ingekuwa mtu makini asingekubali cheo kile unless hata angeomba awe RC wa Geita huko ambako hakuna mbilingembilinge.

2.Kumtumia "insane" kumchafua Gwajima.
Makonda hakutumia akili kabisa katika kumtumia yule dada kutaka kumchafua Gwajizzo. Na ndio maana hata dili ikabumburuka kabla hata haijaruka hewani. Ukitazama cheti cha hospitali utaliona hili,tena alivyomshamba amekiandika kile cheti mwenyewe,halafu akaingia front mwenyewe kulazimisha "kipindi chake" kichezwe. Huu ni ushamba.

3.Kuvamia ofisi za Clouds akiamini hatajulikana. Hivi hakuweza kufikiria hata kama kuna CCTV mle? Ni bora hata angewatuma watu wamfanyie kazi. Halafu anawatisha watu kwamba watafungwa miaka sita bila kwenda mahakamani,huu ni ushamba wa kiwango cha lami.

Nimesoma kwamba Makonda aliwaaonya wasitoe taarifa kwamba amefamia kituo. Huu ni ushamba, unawezaje kuwaziba midomo watu wale.

4.Kumuwekea loud speaker Mh.Rais
Mara kadhaa Makonda ameonekana kuongea na Rais akiwa kuweka loud speaker ili kuwaonesha watu yeye ni nani. Huu ni ushamba,"wahuni" hatuhitaji ujiko wala kutaka watu wajue sie ni kina nani. Kwa mtu wa namna ile hata kumuamini ni ngumu kwa sababu ni dhahiri hawezi kutunza siri

Hakuna ubishi kwamba mtu kama RC wa jiji kubwa ni lazima kunakuwa na siri kadhaa na Rais iwe za nia mzuri ana mbaya. Ndio maana hata wazushi wanazusha kwamba pengine Rais anaogopa kumtumbua Makonda kwa kuhofia kuvuja kwa siri maana hata yeye anajua kijana wake ni waruwaru
Hii post inaonyesha mambo mengi zaidi ya ushamba.
Inaonyesha mhusika ni mhalifu.
 
Ndio maana mpaka leo nipo single

Wanaume MOSTLY wa Dar ni wa type za kina Bash...

Jitu kuuuuuubwaaaaaa akili za nzi!

Hivi huwa wanazaliwa au wanaokotwa?

Wana Koromije wanaweka wapi sura zao

Huyu Bash... ni kama demu tu

JITU LIMEKALIA MAJUNGU 24/7

Halafu linabana sauti

"Mie mkuu wa nini sijui"

Ptuuuuuuuu!!!!!
 
Yatawatoka mengi tu! Kazi zinaendelea. Kinachofanyika sasa, vijiwe karibu vyote vya "wahalifu wakuu" vimevurugwa; wamepaniki!
=====
Mtu unajiuliza, inakuwaje issue ya kutokomeza janga ambalo linaweza kupoteza kizazi chetu haiungwi mkono lakini vitu vyepesi kabisa ndivyo vinapewa kipaumbele tena na watu wazima! Kulikoni?
Mkuu ni kivipi tunazuia vita ya madawa ya kulevya wakati kitengo cha kuzuia kipo huru na kimewezeshwa.Makonda anahusika vipi na kuzuia madawa ya kulevya,tungekuwa tunamsema Sianga at least ningeshawishika
 
C7k-lQNV4AENLE1.jpg
 
Huyo Bashi.. sina hakika hata kama ana akili za kuvukia barabara, sijawahi ona mtu kichwani kiazi kama huyu, akitolewa ubongo watakuta kinyesi badala ya ubongo tena kina funza kabisa.sometime nawaza kama huwa hajikojolei kitandani kwa akili hizi sidhani kama anaweza kukumbuka hata kwenda kujisaidia.
 
Yatawatoka mengi tu! Kazi zinaendelea. Kinachofanyika sasa, vijiwe karibu vyote vya "wahalifu wakuu" vimevurugwa; wamepaniki!
=====
Mtu unajiuliza, inakuwaje issue ya kutokomeza janga ambalo linaweza kupoteza kizazi chetu(madawa ya kulevya) haiungwi mkono lakini vitu vyepesi kabisa ndivyo vinapewa kipaumbele tena na watu wazima! Kulikoni?
Mnataka tufanyaje ili muamini kua tunaunga Mkono hiyo Vita?

Tunataka vita Halisi ya Madawa ya Kulevya! Hatutaki Vita ya Madawa ya Kulevya feki inayotumika kama kivuli kuvuna Jasho la wanyonge kiulaini.

Hatutaki Vita ya Madawa ya Kulevya itumike kama kichaka cha kuficha udhaifu, madudu na uvunjaji sheria. Yaani kua front line katika battle field ya Madawa hakuhalalishi cheti feki Wala uvamizi katika media house.

Tunataka Vita Halisi na Halali ya Madawa ya Kulevya! Na Pia TUNATAKA VITA DHIDI YA MADARAKA YA KULEVYA.
 
Makonda ni mhalifu kama wahalifu wengine na hivi sasa alitakiwa awe nyuma ya nondo za magereza
 
Mkuu ni kivipi tunazuia vita ya madawa ya kulevya wakati kitengo cha kuzuia kipo huru na kimewezeshwa.Makonda anahusika vipi na kuzuia madawa ya kulevya,tungekuwa tunamsema Sianga at least ningeshawishika
Ebu fikiria posts na maelezo yote ya hapa JF,Facebook, Instagram,whatapps, magazeti, redio television,vijiweni majumbani kazini juu ya sakata la Makonda na vyeti, Makonda na clouds, Gwajima na mbwembwe zake yangehusu kufichua mbinu mpya wazitumiazo wauzaji, wasambazaji, waingizaji nchi madawa ya kulevya ; je unadhani tungekuwa tumefanikiwa kudhibiti kadhia hii ya madawa ya kulevya kwa kiasi gani? Ebu fikiria kiungwana kabisa kama wewe si mnufaika wa biashara mbaya hii ya madawa ya kulevya.
Unadhani tungekuwa tumemsaidia Kamishina Siang'a kwa kiasi gani kama watanzania wote tungeunga mkono hili suala kwa kutumia vyanzo vyetu vyote vya kupashana habari kufichua washiriki wote wa biashara hii mbaya ya madawa ya kulevya.? Fikiria kiungwana kabisa.
 
Back
Top Bottom