Leomimi
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 2,547
- 874
- Thread starter
- #21
Du sasa huyu mtimbichi kaleta taharifa alafu katuambia hatakai maswali du anaonekana anamjua mshkaji kwa karibu
Huyo demu si ndio anaitwa siwema,marehem Ngewa alikuwa anapiga hapo then ney akachukua mzigo....hakajatulia hako kabinti longtyn kanapiga picha mby fb huko