Ungekuwa wewe ungekataa offer?
Offer gani !!!!!!!!!!!!!!!!
Yakumtosa boy wako uende kwa kibabu cha ikulu!
mjini hakuna vibabu wote huku ni baby
Au wewe ndio deo nini?
Hahahah!sio kupenda tu, ni pamoja na kuendekeza uteleziAcheni kupenda utelezi.
Ha ha ha ha..aya bana! Kwahiyo ungemtosa baby boy wako?
Huyu jamaa anaitwa deogratius kumalija ni bosi flani pale EWURA upande wa fedha ni mfanyabiashara pia wa mambo ya mashine za tiba asili zinaitwa CERAGEM na mwaka juzi alifiwa na mkewe kuna picha zake hapa lakini nashindwa kuzitupia ila ukiingia Istagram kwa ney utamkuta kajaa tele ndio kampiku mshkaji demu wake ndio ivyo asanteni sitaki maswali .
Au wewe ndio deo nini?