Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
Because I love you
U always in ma mind
Ma heart, ma soul . . .
I just wanna be Close to you!
Hii naileta kwako wewe rafiki.
Mbali ya kuwa ina maneno mengi mazuri hasa kwa wale waliojidhatiti kwa wapenzi wao
Ila mi ningependa uiangalie hii nyimbo na uisikilize vizuri.
Then utuambie wewe umeguswa/umevutiwa/umependa maneno yapi kwenye hii nyimbo.
Na kwanini . . .japo uelezee walau sababu ya/za wewe kugota kwenye hayo maneno.
Kwa wale ambao ikitokea hamjaipenda . . .
basi sio mbaya mkichangia mkatuambia walau kwa yale yanayoonekana kwenye video nzima.
(Hata maji tu ya bahari kama yamekuvutia . . .LOL)
Karibu sana Rafiki.
CC: amu cacico Asnam Arushaone Arabela Blaki Womani marejesho King'asti KOKUTONA Erickb52 chilly noahism passion lady Husninyo sweetlady charminglady Elizabeth Dominic Donn Filipo Judgement Baba V ladyfurahia Paloma Jeska kyanaKyoMuhaya Rutashoborwa watu8 Madam B Nicas Mtei Nicole Mr Rocky Maeskron Rich woman ofcoz bila kumsahau baba lao Mtambuzi Roulette AshaDii Marry Hunbig Slave Preta dubu Zion Daughter FirstLady . . . . .etc etc. Ukipata copy tafadhali mtumie na mwenzio!

Last edited by a moderator: