Ni dakika 5 za Lowassa

Wameshasema hata akiwa maiti watamchagua tu. Huko mbele watakuwa wanamshikilia asimame tu kama lisanamu watu wanamuona halafu "Pipozi pawaaaaaaaaaaaaaaa" mkutano kwisha. Haya ni mabadiliko ya aina yake mkuu. Let's wait and see.
Atakuwa rais kama boya tu ili watu wapige madili.
 

Wewe Dishunga. Kwa maneno yako tabia yako ni:

1. Uoga
2. Unafiki
3. Usaliti.

Simama uhesabiwe acha uoga na unafiki wa kuwa kuwa ndumila kuwili.
Huo upopo wa kuwa ndege na mnyama kwa wakati mmoja utakupoteza.
 
wenyewe wana mabadiliko wanasema hawataki kujua atawafanyia nini wanachotaka awe rais,roho zao zitakuwa kwatu
 
wenyewe wana mabadiliko wanasema hawataki kujua atawafanyia nini wanachotaka awe rais,roho zao zitakuwa kwatu.Only in Tanzania
 

Jisemee nafsi yako usiwasemee Watanzania
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.

umesahau kikwete alianguka mara mbili jangwani katika siku tofauti wakati wa kampeni zake? je hiyo ilimzuia kuwa rais?
 
Lowasa hawezi kutudanganya tena tushastuka siye kitambo aende zake wala hatudanganyiki kabisa mwizi tu huyu.

Wewe kazi kufurahi na kucomment kitu chochote kinachoandikwa kwa ubaya kuhusu Lowassa hata kama aliyeandika anajua wazi kwamba ni uongo lakini kuna wapumbavu wata support.
 
Hata mseme anaongelea kutumia mashine maalumu nilishaamua kumpigia kura Mh. Rais mteule Edward Lowassa kwasababu naamini katika mabadiliko!
Semeni yooooote, hambadilishi chochote. Kwani Slaa hajafikia target yenu?
 
hakuna haja ya kujadili afya ya mtu jadili je ww mzma?leta vya maaana tumechoshwa na hoja lwasa jaman tuambien kwa nn watoto wanakaa chin? kwa nn watu wanatibiwa chin ya mt?
 

Sinema hizo hizo Za kihindi za staring kufia kwenye maua ndio zilipendwa zinapendwa na zitapendwa
Tena hususani nyimbo zao ambazo zinatia bashrafu Kwa watz na ndio maana tunaziangslia kila siku na 25 October tunanua ili ziwe zetu Kwa manufaa yetu
Hahahahahahhahahahahahah poooor you
Welcome team mabadiliko
 
Hata mseme anaongelea kutumia mashine maalumu nilishaamua kumpigia kura Mh. Rais mteule Edward Lowassa kwasababu naamini katika mabadiliko!
Semeni yooooote, hambadilishi chochote. Kwani Slaa hajafikia target yenu?
Halafu Lodi Lofa akiwaita wapumbavu mnakasirika. Why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…