Ni dakika 5 za Lowassa

Magufuli akitamka kuwa mafisadi wote waliotuhumiwa na taarifa za kamati za bunge watapekekwa mahakamani akianza na Lowasa, rostam, change, tibaijuka, kalasinga wa escrow,nk nitampa kura yangu. Mambo ya kuunda mahakama ya mafisadi ni usanii tu. Mahakama zilizoko zinatosha serikali yake iwe tu na ujasiri wa kutoangalia nyuso za watuhumiwa.
 
Hii nayo ni thread jf sasa imekuwa ni sehemu ya kuzungumza masuala binafsi ya watu
 
Labda niulize swali la changamoto kwann Lowassa amekua agenda kbwa kwa ccm?? Kwann wasi nadi Ilani yao? Kwanin wasieleze dhamira yao yaktmikia wananchi? Nauliza maana wanatmia nguvu kbwa kmnadi Lowassa kupitia vijana wao kmtusi,kuandamana, waigizaji kumiigiza, midahalo kjadili Lowassa tuu vipindi kwenye television kumudhihaki? Yule ni mzee who deserves respect ata kama ameasii ccm ila amewatumikia kwa mda murefu kwann mnamdhalilisha kiasi hicho?? Mpaka kumvua ubinadam wake kweli anasitihili fedhehea hiyo??? Mwisho niwasihii vijana wenzangu kna maisha baada ya uchaguzii tuepuke ktumika vibaya kama kaka yang polepole unamtusii mzee sawa na baba yako?? Si tanamaduni za kitanzania.
 
Don't involve gwajima!he is a prophet of doom, one of those false prophets who are many these days and they reap from poor ignorant peoples' problems.
 

Afadhali umenisaidia kufikisha ujumbe,,Nilipoandika mimi walikua wanaifuta futa na kuunganisha na thread nyingine

Kikubwa ujumbe umefika
 
Huna la maana kuongea sana hakunama.kinachotakiwa ni utekelezaji wa ahadi sio miaka hamsini ahadi zisizo tekelezeka.tumechoka ahadi za midomoni bilakitendo.
 
Unapoteza muda kutuletea ngonjela za miaka 47.
Watz wanataka mabadiriko.

Wanataka kuachana na chama cha majambazi
 
"maneno machache,kazi kubwa"
kauli hii inatumiwa sana na mheshimiwa nabii geordavie wa kisongo arusha.
Nami naamini ya kwamba lowasa,"maneno yake ni machache hayahitaji muda mwingi ila matokeo yake yataibadilisha tanzania kwa wema kabisa.
Mabadiliko,lowasa,lowasa,mabadiliko.
 
Mambo ya kuwashwa tena? Inaonekana haya mambo ya kuwashwa na kuingiliwa unayajua sana. Hongera zako.

Yaani mkiguswa kidogo tu "Ooh tulia dawa ikuingie" Dawa ya ufisadi ama nini hiyo? Muwapelekeage na mama zenu hiyo dawa nao ikawaingie. Lofa mkubwa!

calm down kaka....kuwashwa na dawa kuingia ni nahau za kawaida sana. usipanic. ngoja tusubiri siku 40 ziishe.
 
nimeona kanidharau, mimi ni lofa nitampa kura bila kinyongo kaka we hayakuhusu, kama unamuona hafai kampe kura yako makufuli.
 

Gamba at work
 
Mtu anataka kuwa rais wakati hawezi kuongea, unaakili kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…