OoohKuna kitu inaitwa ID. Kwangu mie ndio channel ya pekee ambayo naweza kuiangalia anytime mule
Litiviii la jiwe siangalii ng'ooo hata kwa mtutuTBC 1 maana huwa hawakati hata kifurushi kikiisha halafu n wazalendo sana kwa kusemea mema ya mama Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mchocheziDaaaah leo bora habari za utawala wa kizayuni hazijapostiwa, hekooo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ameuacha utawala wa kizayuni upumue kidogo ila anajipanga kuendeleza mashambuliziDaaaah leo bora habari za utawala wa kizayuni hazijapostiwa, hekooo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ameuacha utawala wa kizayuni upumue kidogo ila anajipanga kuendeleza mashambulizi
Investigation Discovery, hua ina addiction sana na yale mambo yao...Mara Death Chose Me, The blood family, Bridal Killer..ukitazama sana unaweza ukawa mwehu, trust me!Kuna kitu inaitwa ID. Kwangu mie ndio channel ya pekee ambayo naweza kuiangalia anytime mule
Ooohh yess!Fine Living....
Kuna kitu inaitwa ID. Kwangu mie ndio channel ya pekee ambayo naweza kuiangalia anytime mule