Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
natarajiaWewe ni single mother au unatarajia kuwa single mother?
yapupo sawa kweli
Simkimbii but hatujawa tayari kuishi wotekwanini unamkimbia bamtoto mpendwa?
Simkimbii but hatujawa tayari kuishi wote
Teh teh si kwelini meneja wako nini ukashika mimba haraka umzalie mtoto upate offer ya kupangiwa apartment.
Huku ukijua Ni mume wa mwanamke mwenzako
mana nyie wadada hamuishi vituko.
duuuhSio single mom ila nawaonea huruma sana watoto, watoto wanateseka.... Kuna mdada yeye ana mtoto ila hayupo na baba mtoto, alipatamwanaume mwingine mwanaume hataki kabisa kumsikia mtoto, baba akamchukua, baba nae kapata mwanamke ambae hataki kabisa kusikia habari za mtoto
Ndo maana wanawake wengine wanakomaa ndoani wanavumilia tu hawaondoki ukimuuliza anakwambia "nakaa hapa kwa ajili ya watoto" sahivi ndio nawaelewa, wengine wanakua kama house keepers tu, ndoa hewa kwa ajili ya watoto.... SASA NDIO NAWAELEWAduuuh
Teh teh si kweli
Daah hilo swali pasua kichwa aisee!Duh! Na hao wawili watakua mwili mmoja!! Usizini kabla ya ndoa, watoto ni Baraka! Siku moja NILIWAHI kuulizwa swali gumu Sana " Baba Kwanini ulimuacha Mama?! "
Nimekuelewa dadanguNdo maana wanawake wengine wanakomaa ndoani wanavumilia tu hawaondoki ukimuuliza anakwambia "nakaa hapa kwa ajili ya watoto" sahivi ndio nawaelewa, wengine wanakua kama house keepers tu, ndoa hewa kwa ajili ya watoto.... SASA NDIO NAWAELEWA
Hata mama ukimshatakia ndoa cha Kwanzaa anakwambia vumilia mwanangu