Ni changamoto gani mwanamke unakumbana nazo kumlea mtoto peke yako?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Habarini,

Natumaini muwazima na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku kwa single mothers tu, naombeni mniambie ni challenges gani mnakumbana nazo katika kuwalea watoto wenu wenyewe without dady na kwa upande mwingine mnajisikiaje kuwa single mothers?
 
km uko ulaya ndio shida maana kulipa nany ili uende kazini ama shule,inakuwa expensive kidogo ila ukiwa Tanzania unaweza kuajiri mfanyakazi akakutunzia mtoto/watoto wewe ukafanya mambo mengine....
 
Illuminata nakumbuka siku mmoja ulitaja kutelekezwa na mimba mwaya. Embu waulize upate uzoefu shogangu. Mi bado naamini ipo siku mwanaume aliyekupa ujauzito atakutafta. Mungu na Yesu kristo Mfalme wakutangulie ktk uzazi salama.
 
Sio single mom ila nawaonea huruma sana watoto, watoto wanateseka.... Kuna mdada yeye ana mtoto ila hayupo na baba mtoto, alipata mwanaume mwingine, huyo mwanaume hataki kabisa kumsikia huyo mtoto, baba ake akamchukua ili aishi nae , baba nae kapata mwanamke ambae hataki kabisa kusikia habari za mtoto. Mtoto anaishia kukataliwa inasikitisha
 
Sio single mom ila nawaonea huruma sana watoto, watoto wanateseka.... Kuna mdada yeye ana mtoto ila hayupo na baba mtoto, alipatamwanaume mwingine mwanaume hataki kabisa kumsikia mtoto, baba akamchukua, baba nae kapata mwanamke ambae hataki kabisa kusikia habari za mtoto
duuuh
 
Ndo maana wanawake wengine wanakomaa ndoani wanavumilia tu hawaondoki ukimuuliza anakwambia "nakaa hapa kwa ajili ya watoto" sahivi ndio nawaelewa, wengine wanakua kama house keepers tu, ndoa hewa kwa ajili ya watoto.... SASA NDIO NAWAELEWA
Hata mama ukimshatakia ndoa cha Kwanzaa anakwambia vumilia mwanangu
 
Ndo maana wanawake wengine wanakomaa ndoani wanavumilia tu hawaondoki ukimuuliza anakwambia "nakaa hapa kwa ajili ya watoto" sahivi ndio nawaelewa, wengine wanakua kama house keepers tu, ndoa hewa kwa ajili ya watoto.... SASA NDIO NAWAELEWA
Hata mama ukimshatakia ndoa cha Kwanzaa anakwambia vumilia mwanangu
Nimekuelewa dadangu
 
Back
Top Bottom