Ni changamoto gani mwanamke unakumbana nazo kumlea mtoto peke yako?

Challenges ni nyingi my dear..ila kwanza kubali kudharaulika mana wengi uwa wanajua sababu ya wewe kua single mother uhuni.
Pili mtoto anapoona wenzake na baba kwa (yule mwenye ifahamu) lazima ataabza kuuliza
Tatu chochote kibaya akitenda mtoto kwa bahati mbaya utaskia sababu analelewa na mama bila baba
Nne all in all iyo ni baraka na zawadi yako mtoto ni faraja sana anaeza kukufanya usahau machungu yote
Omba tu asifanane na baba ake:(
 
Ahsante dear,nimekupata vilivyo.
 
Kwanini asifanane na baba ake?
 
ndugu nakusihi kama huna sababu za msingi za kutokulea na kukuza mtoto bila mwenza na usifanye hivyo ni matatizo makubwa mno kulea mtoto bila mwenza au mtoto kulelewa na mzazi mmoja.WATOTO HUATHIRIKA SANA KISAIKOLOJIA.

OMBA MUNGU TU KAMA NDOA YAKO IKO POA. KUNA NDOA NA WATOTO BADO WANAATHIRIKA KUPITA HATA HAO WANAOLELEWA NA MZAZI MMOJA
 
Daah hilo swali pasua kichwa aisee!
Mi ni mtu mzima ila nililelewa na mzee wangu, niliwahi muuliza mzee wangu hili swali mpaka leo hajajibu, ilibidi nifanye utafiti upande wa mama nisikie stori yake. Sasa ni ngumu kujaji maana mama kaniambia sababu ila mzee kagoma kutoa sababu mpaka leo.
Litakuwa ni swali gumu sana hili.
 
Back
Top Bottom