Ccm aka maficcm aka chama cha mafisad aka chama cha mashog aka chama cha majamba..ndugu watanzania naomba tujadili kwa pamoja swali hili ambalo lina maswali mangi
ni chama gani kilichoifikisha nchi yetu hapa
-ufukara wa kukithiri wakati imejaa kila aina ya maliasili
-upumbavu na ulofa + ujinga
-miundombinu mibovu
-rushwa kila taasisi ya serikali
-hospitali kukosa dawa na huduma bora
-elimu mbovu ya hali ya chini ufauli wa alama 30
je baada ya kukigundua kuna haja tena ya kukichagua?
Uwe mzalendo ktk majibu yako
​
Usiweke Chama mkuu maana maendeleo hayana chama ila uliza ni nini kimetupelekea kuwa hapa tulipo mpaka leo licha ya kuwa rasimali nyingi nchini ??
Jibu naanza na hili:- Rushwa, Ufisadi (Uhujumu wa uchumi)na matumizi mabaya vyeo !!
ndugu watanzania naomba tujadili kwa pamoja swali hili ambalo lina maswali mangi
ni chama gani kilichoifikisha nchi yetu hapa
-ufukara wa kukithiri wakati imejaa kila aina ya maliasili
-upumbavu na ulofa + ujinga
-miundombinu mibovu
-rushwa kila taasisi ya serikali
-hospitali kukosa dawa na huduma bora
-elimu mbovu ya hali ya chini ufauli wa alama 30
je baada ya kukigundua kuna haja tena ya kukichagua?
Uwe mzalendo ktk majibu yako
​
Chini ya sheria ya uchaguzi ya tanzania mgombea udhaminiwa na chama acha umagufuli kukataa huli nguruwe but unakunywa mchuzi wake
Usiweke Chama mkuu maana maendeleo hayana chama ila uliza ni nini kimetupelekea kuwa hapa tulipo mpaka leo licha ya kuwa rasimali nyingi nchini ??
Jibu naanza na hili:- Rushwa, Ufisadi (Uhujumu wa uchumi)na matumizi mabaya vyeo !!
Kwa hali ilivyo makomeo ni mgombea binafsi
Hawa watu wanajaribu kutuchezea sana iwapo magufuli akishinda serikali yake itaundwa na akina jan makamba,ngereja,rizwan,wassira nk ebu tuelimishane hapo mabadiliko yapo wapi zaidi ni kuwa nani hata akina sepetu,bongo flav wastahili kulipwa fadhila!nadhani hiyo ndio utakuwa utawala mbovu kuliko wowote uliopata kutokea katika historia ya dunia