ndugu watanzania naomba tujadili kwa pamoja swali hili ambalo lina maswali mangi
ni chama gani kilichoifikisha nchi yetu hapa
-ufukara wa kukithiri wakati imejaa kila aina ya maliasili
-upumbavu na ulofa + ujinga
-miundombinu mibovu
-rushwa kila taasisi ya serikali
-hospitali kukosa dawa na huduma bora
-elimu mbovu ya hali ya chini ufauli wa alama 30
je baada ya kukigundua kuna haja tena ya kukichagua?
Uwe mzalendo ktk majibu yako
​