Huwezi kusema unaweza kula chakula fulani kila siku bila kuki kinai,unless otherwise uwe umeshafanya jaribio hilo na ukafanikiwa,
Kinachotakiwa ni kula balanced diet,
Hata chakula ukipende vipi,ukikila kila siku utakikinai tu ndio hulka ya Binadamu ilivyo.