Wakuu Salaam, nipo Arusha mambo huku sio sawa tatizo kubwa ni mgawo wa umeme, ninapowasiliana na wenzangu, Dar, Moro, Dom wananishangaa kusikia bado tuna mgao, ndugu zangu nafikia mahali kujiuliza ni kwa sababu ya (Lema, Mb - Chadema) ndo tunapata haya masahibu?? haijawahi kutokea hivi, huko wenzangu mlipo kuna mdawo???