Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja
Si shauri mtoto yeyote wa kike kuiga mfano wa Jokate, She is Jack of all trades master of none asiyejielewa.......kwenye uso wa dunia anaonekana ana mafaniko na mwanamke wa kuigwa.......mara deal na wachina ya bilioni sita, siku linatangazwa Jokate hajasajili kampuni yake yaani ndo anaanza kuuliza inakuwa je, yaani wewe wachina wanakuja wanakupa idea unashindwa kukimbia Brela......haya akawa na ndoto za kuwa tutorial/assistant lecturer kazi ikatangazwa badala apply kawaida apambane na wengine anataka atumie umashuhuri wake kuipata mara visits huku mara kule mpaka akafikishwa kwa Mkandala mwishowe akakatwa......mara sandals mara nywele hamna kitu anachoweza kukisimamia kikasimama.......tuishie hapo kwa leo isiwe personal saaaana ila sio kama anavyoji potray
 
I second you.. anavyojionyesha mbele za watu sivyo alivyo hata kidogo, hana tofauti na wanawake wengine tena ukiangalia yeye ana access ya kila kitu ila bado ameshindwa kujikwamua.

Hapo Lady Jay Dee tuu
 
Ni kweli, kama Jack Mengi, ni kweli amefanikiwa na kwasasa anajituma sana even though mumewe ni billionea..

Lakini nae doa lake ndio hilo..
utajuaje kama mzee mengi kainvest pesa zake afanye biashara ya fenicha.
huyu dada jacq alikua ni mdangaji pia..ila mdangaji clasic yani unaweza ingia serena unamkuta kakaa na glass ya wine anashusha taratibu..huku kapiga kimin cha hatari..na alivoendaenda shule ndo kabisa hakimshindi kitu.

asinase mimba za wanaume woote aje kunasa ya mzee mengi
hukuona trick ya kunasa mali?
yataka moyo kakangu..kuparamia kifuan na kumkatia mauno mzee kama babu yangu..siwez
 
Jack naenda shule wapi? Wabongo huwa tunawapaisha kuliko walivyo hawa celebs
 
63941_10152405802890025_3495294999548219343_n.jpg
 
Back
Top Bottom