Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,181
2,000
Habari zenu jukwaa la celebrity.

Tujuzane bila upendeleo ni binti au demu gani hapa Tanzania amefanikiwa pakubwa kwa kazi zake kuinuka kimaisha yeye binafsi au hata kuwainua ndugu zake. Kipato chake kisiwe na walakini wala tetesi za makandokando.

Aweza kuwa kwenye Muziki, bongo muvi, mitindo nk. Mafanikio ni pamoja na nyumba nzuri, magari, biashara kubwa halali, na nyingine zitokanazo na kipaji chake. Huyu atakuwa role model wa wasichana wenye ndoto nao wamwige.

Karibu tutiririke.
 

FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
7,174
2,000
Watu wakaida ndo nani,, mana huku uswahilini kwetu hata jack mengi hawamjui,,wanajua wema na diamond tu
Jack amefahamika kama Kyln na Miss Tanzania kwa miaka mingi.. Ameshafanya kazi kadhaa za mziki pia. Wasiomfahamu labda watoto wa kuanzia 99 na kuendelea..

Huyo Dorice uceleb kaupatia wapi?
 

naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,713
2,000
Jack amefahamika kama Kyln na Miss Tanzania kwa miaka mingi.. Ameshafanya kazi kadhaa za mziki pia. Wasiomfahamu labda watoto wa kuanzia 99 na kuendelea..

Huyo Dorice uceleb kaupatia wapi?
Huu uzi upo tricky, nadhani wanawachimba watu wafunguke maana kuna watu wanatajwa hapo sion hayo mafanikio
 

Transparen

Member
Aug 23, 2017
80
125
Hapa ni Commander Lady jay dee, Nancy sumari na Flavian matata hawa at least japo nao wana scandals zao but somehow they are trying to hustle sasa mtu kama wolper, Uwoya,tunda we don't know wat things they do zaidi ya kupishana nao milangoni sea cliff, Serengeti na Serena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom