aaaaaah
Dena Amsi!!!!ulifanya kosa sana!!yaani mtoto wa mwanamke mwenzio unamtimua usiku akibakwa na vibaka huoni utakuwa umemsababishia!!!ungesubiri kupambazuke ukamchukulie hela benki ya kuanzia maisha harafu ndo muagane hata kwa kiss anaondoka!!usiku!?