Ni bunge au ni sehemu ya mipasho? !!!!

Ni bunge au ni sehemu ya mipasho? !!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]NI BUNGE AU NI SEHEMU YA MIPASHO?[/h]
​
Nakumbuka bunge la mwaka jana lilikua kiboko mwaka huu naona kuna adabu kidogo si kama hivi ilivyokua, ila mimi nlikua naenjoy na fujo zao zilinifanya nishawishike kuangalia bunge ili nijue kituko kipya kila siku ni kipi, anyway, God bless our MPs so that they can have wise tongues in the mjengo..

hili ni bunge la bajet hewa,ndio maana limegeuka la mipasho.
 
hili ni bunge la bajet hewa,ndio maana limegeuka la mipasho.

si bajeti hewa labda vikao vya harusi ndo hufanyika humo,. naona wanakuja na kali ya matusi sasa
 
hata wala bata si hivi yaan is too muuuch, bora hata wangedundana kuliko kumwagiana matusi

Nimelifikira sana hili. Lakini bora wtukanane tuu na kuonyesha ujinga wao tupate faida kwa hela tunazwalipa. Kuna Mibunge mingine toka iingie bugeni haijaongea hata siku moja inajificha na kula hela za bure tuu!
 
hiyo ni moja ya usanii wa wabunge wetu wote hao ni kitu kimoja kwenye mafao hawagombani hao wanatudanganya sisi
Kwani uchaguzi lini? huo ni mkakati wa kugombea KULA kwenye uchaguzi

Back
Top Bottom