mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,463
- 138,300
Kwema mzee Wa vodka!Aliikana
Naona ninja amepewa red card!!
Hebu Tia neno moja kdg
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mzee Wa vodka!Aliikana
"Wako watu wameanza kupotosha maagizo ninayotoa, niwahahikishie watanzania tangu nilipoteuliwa na kuapishwa niliahidi kusimamia vyombo vya ulinzi vilivyo chini ya Wizara. Ila hao wachokonozi wanaosema sina mamlaka nitawashughulikia na nimeshaorodhesha wawili hadi sasa"- Waziri Kangi Lugola
Nini maoni yako
Chanzo EATV