unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 484
Hello wanajamii, kuna watu humu ambao maisha yao halisi ni yale ya 'kikaksi' yaani wanasalimiana vizuri na watu, wanasaidia pindi waombwapo msaada, wanajumuika katika shughuli za kijamii n.k, lakini hawataki mazoea zaidi.
Yaani sio ajabu kukawa na 'issue' ya kuchekesha ila wao wasicheke; hawapendi kuongea ongea, hali inayosababisha kutafsiriwa vibaya na watu wengi wenye uelewa mdogo kuhusu aina hii ya watu.
Na wakati mwingine mpaka wasichana huogopa kuanza kujenga nao urafiki wanaume wa aina hii, vile vile na kwa wanawake wa aina hii.
Sasa je, Gentamycine, Jabali la karne, jidu la mabambasi, jana ulirudi usiku, na wengineo wengi. Ni changamoto gani mnazopata kwa kuwa 'kauzu' katika jamii zetu za kitanzania?