Ni bora Huyu mama kuwa na dildo au kutafuta k

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,280
Huyu anamiaka 50+ ninmuajiriwa kwenye taasissi moja ya serikali. Miezi sita iliyopita alifiwa na mume wake ambae ndiye aliye kuwa soul mate wake. Ameachwa na watoto watatu, mkubwa wa kike anamiaka 25 ambae yuko kwenye ndoa changa.

Juzi kati mama Huyu alianguka akiwa kazini na kuvunja mguu, aliwahishwa hospitali ambako alikaa kwa siku saba na ametoka akiwa na Plaster of Paris (PoP).

Baada ya kupata ajali binti yake mkubwa na mume wake walimhudumia sana. Siku mbili kabla mama hajatoka hospital binti na mume wake walimwambia mama watakwenda nyumbani kumsafishia chumba chake na kubadilisha mashuka kitandani jambo ambalo mama alikipinga lakini binti alijua ni ubishi tu wa mama.

Waliamua kwenda na mume wake waliszfisha na kupanga vizuri sasa wakati wanabadilisha shuka ndipo walipokuta na kitu dildo

Binti alimfahamisha mama yake kuwa ameiona na asifikirie kuwa atamlaumu Tena anamuenzi kwa kujigeshimu baada ya kufika cha baba yao.

Wewe unaona mama kununua dildo ni kheri kuliko toy. boy?
 
Siri za mtu hizo, hata wewe unasiri zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa ndoa nyingi hasa za kishua hazina furaha kwa sababu ya haya matoy ukiwasikiliza wao wanakuambia n bora toy kwa sababu linamridhisha pia halimuwek ktk hatar ya kupata
maambukiz
Wanaume inabid kukomaa sana ili kuwaridhisha wake zetu aseeee!

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
50+ with Dildo.. Lets see if its wright or wrong...

Ngumu kusema kama ni sahihi au siyo... Mwacheni tu na mambo yake... Atajijua mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Nimesikitika kama ni mama yangu alieaibishwa hivi. Kweli huyo binti ana akili kutoa siri nje? Nna mashaka na mtoa mada
 
tatizo dildo halina hoto kama mkuyenge,dildo halikupi maneno laini wakati wa gemu wala kukukandakanda/kusiga kabla na baada ya gemu.dildo haliwezi kumpetipeti,sex is more than the penetration and the in and out pumpings,the human element is far more important.
Matatizo yote haya yanatokana na wao kunyanyapaliwa wakiamua kujiweka kwa dogodogo,hii tabia ya kufuatilia mapenzi ya watu naikemea kwa nguvu,muache magari new model yaendelee kuyakokota yale ya zamani bila bugudha
 
Huyo binti anatafuta laana za kulazimisha.

Mama ake ataanza kusononeka kimoyomoyo.
 
Back
Top Bottom