Hata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!