Jordi alfred
Member
- Oct 24, 2019
- 20
- 5
Me n artist lakin piah nasoma chuo jeh biashara ipi inaweza kunkim kimaisha kwa upande wa art yang ya kuchora ainilipi kutokana na kuwa bado sina skills kubwa na kutambulika hivyo niifanye sanaa yang kuwa sehem ya kipato au issues nyingne tofaut na hip nzuri??Bandiko lako halieleweki.
But Anyway unajua kuchora
Thanks ntajaribuKwa maeneo ya chuo uza matunda aina zote clasic kabisa, na juisi.
Ni maoni yangu.
karibuSawa mkuu icho kitu sjawahi kufikilia but nlikuwa na mawazo ya kuwa na youtube channel yang hasa kwa kufanyaje ndo skuwa na wazo hilooo shukran sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maeneo ya chuo uza matunda aina zote clasic kabisa, na juisi.
Ni maoni yangu.
Uza makava ,viurembo vya cm weka protector ,chajiza cm majagi yaumeme ear 4n ,sajili laini zamitandao yote hapa akikisha wanaweka vocha kwamwenzi hukosi 700K jumla NOTE : wekamazoea sana nawalimu wenyevyeo vikubwa chuon pamoja nawalinzi ili wasikusumbue .Ticha akijitokeza anahtaji vocha mpatie usimdai pesa msajilie lain bure atakua rafkiyako milele , nahawatajaji pindi utakapoweka meza ndani yachuo nakufanya mbishezako cz watakua wanakufaham
Sent using Jamii Forums mobile app
"Nmekupata sasa kwenye tablet hapo n tablet gan hambayo n nzuri jina lake na inaweza kugalim kias gan? Used au newJordi alfred, fungua channel YouTube, tengeneza 2d animations. Kuna stori nyingi za mtaani unaweza kuziundia animation. Una kipaji kikubwa, itakuchukua muda kuanza kula hela (walau miezi sita) lakini ukianza unaweza kuendelea hata baada ya kumaliza chuo. Tafuta rafiki yako anaeweza kuandika mazungumzo, huwezi kufanya vyote peke yako. Unaweza ukachora stori ya timu ya mpira, angalia YouTube kuna watu wana views nyingi kwa michoro iliosimama, wewe ukiweza kuitembeza unaweza kupata hata dili la kufanya matangazo. Ningekushauri uchore picha za watu kisha walipie lakini kwa Tanzania itakua hutumii kipaji chako to the fullest. Jaribu animation, una mkono wa kuchora. Nunua tablet za kuchorea zilizotumika ni bei rahisi. Kompyuta unaweza kutumia hata za chuo. Mungu akubariki, una kipaji kikibwa na adimu sana.
Upesi sana hiyo prfl ubadilishe kabla sijakufungulia mashtakaHabarini wote,
Kama kawaida leo nimefikiria nimekuja na swali jipya.
Mimi nipo Dodoma chuoni nasoma but nahitaji kuendesha shughuli zangu za kipato na pia mimi ni artist hasa katka suala la uchoraji (drawing) mzuri lakini naona art yang hailipi kutokana na bado sijawa na skills na expirence kubwa sana.
Lengo ni kujua biashara yenye mtaji mdogo kama mjasiriamali ili niweze kujikimu mwenyewe kimaisha au niendelee na art?
View attachment 1327098View attachment 1327101
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikawa nasema hii profile si ngenii ila jina geniUpesi sana hiyo prfl ubadilishe kabla sijakufungulia mashtaka