Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Apo mwenge kuna jamaa anauza uji elfu 3 kwa elfu 5 na anapiga pesa kwa makadirio tu jamaa anakunja ata 100k kwa siku kama faida sio mauzo nimeweka apa product yake uone ilivyo uji wa mchele uo na anaulezi pamoja na uji wa mahindi na muhogo unaitwa sterkView attachment 1269273
Mh! Huyo yuko sirius kweli kweli. Kitu inavutia hata kwa macho. Pesa zipo ni ubunifu na bidii ndio vinatuponza. Ahsnte kwa kushare nasi hii kitu.
 
Tatizo watu wanakubaliana bila kusainishiana mkataba. Andika mkataba wenye kipengele cha: ikitokea boda imeibiwa yeye atawajibika kuilipa na kama akiwa ameibiwa kweli(kuporwa) aruhusu uchunguzi wa polisi na ikibainika kweli afidie nusu ama robo ya gharama ya boda iliyoibwa. Mikataba mambo yote akikuruka unakuwa nao mkataba wa kwenda kumshughulikia kisheria.

Si ukatie tu comprehensive bs
 
Handeni kuna kuku wengi sana nenda kijiji kinaitwa Kwediboma siku ya mnada jmosi kuku wanauza tsh 4000 - 5000 kuku huyo hapa mjini wamauzwa 10,000 kwa jumla na rejareja 13,000-15,000 tenga moja kusafirisha halizidi tsh 10,000.

Ukiwa na 300,000 maana yake utapata kuku karibi 60. Kila kuku ukipata faida ya 3000-4000

Utapata kipato cha 150,000- 240,000
Hii imekaa poa asee
 
Tafuta kuku wa kisasa kwe bei ya 5000-5500 .anza kuuza kuku wa kukaanga kwanzia robo kuendelea kwa siku ukianza hata na idadi ya kuku tano mpaka kumi ..utaweza fanikiwa .zaidi .. hapo utaweza pia uza shingo,miguu n.k.. utapata mpaka 10000 kwa kila kuku ..

Sio simple as yah think
 
Ofcourse not, channel yako ikikua na kufikia vigezo unajiunga na adsense, kisha unapata vijisenti, 7000 hiyo kwa siku hukosi kabisa, ila upiga kazi hasa na kizalisha vipindi vizuri vyenye kuvutia watazamaji wengi, ili matangazo ya biashara yakiwekwa kwenye video zako yaonwe na watu wengi.
Hii kitu na mm Nataka kuifungu nimeshawishika
 
Back
Top Bottom