N nicothedemo New Member Oct 16, 2015 2 0 Jan 11, 2016 #1 Habari wadau, Ni benki gani nzuri naweza kuwa na save pesa zangu kwa ajili ya baadae yangu?
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Jan 11, 2016 #2 Benki zote zina save pesa.... wote ni ukoo mmoja tu..!!!!
JOSEPH LUHUSA Senior Member Dec 5, 2015 153 33 Jan 11, 2016 #3 WE KAWAKUTE WAKUELEZE. UTAAMUA UNAOLEWA NA YUPI ?
L Larkin Senior Member Jul 11, 2015 153 139 Jan 12, 2016 #4 La msingi ni kuhakikisha benki unayohifadhi hela zako ina leseni ya Benki Kuu ambayo kisheria lazima kopi yake iwekwe sehemu ya wazi hasa banking hall
La msingi ni kuhakikisha benki unayohifadhi hela zako ina leseni ya Benki Kuu ambayo kisheria lazima kopi yake iwekwe sehemu ya wazi hasa banking hall