Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,067
Utaratibu usio rasmi wa US, baada ya historia ndefu ya migogoro kati ya Democrats na Republican - kuwa na balance ni kuachiana miaka 10 - Democrats amemaliza. Sasa ni zamu ya Republican. No matter how best the democratic candidate is, Republican have to win electionUkiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.
Kwao ni miaka minne minne!!Utaratibu usio rasmi wa US, baada ya historia ndefu ya migogoro kati ya Democrats na Republican - kuwa na balance ni kuachiana miaka 10 - Democrats amemaliza. Sasa ni zamu ya Republican. No matter how best the democratic candidate is, Republican have to win election
Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.
Jamaa sio mnafiki na anasema ukweli chukulia viongozi wetu wa kiafrika wamefanya nini zaidi ya kung'ang'ania madaraka na kujilimbikizia mali wakiacha nchi zetu zimejaa umaskini ujinga na maradhi, hujamsikia rais wetu jana kasema upinzani wasahau kuhusu kutawala -uchu wa madaraka!Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.
Sahau mambo ya Donald Trump, alipendwa kwa uchekeshaji wake na kurusha madongo. Nafasi yake ya kushinda ni ndogo. Ted Cruz au Marco Rubio hawana ubavu wa kushinda urais.Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!
Thanx mkuu.Kwao ni miaka minne minne!!
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.
Yes,Comrade you have a point but it will be disastrous decision for Americans to vote for Trump.Sema unawapenda Democrats so unatamani rais ajaye atoke Democrat,lakini ukweli ni kuwa Clinton anaweza kupatikana na makosa ya kihaini wakati wowote (FBI inakaribia kuhitimisha uchunguzi muda wowote na inasemekana Sababu ya hajawa Indicted mpaka sasa ni kwa kuwa Obama a Democrat ndiye rais) ,na Bernie Sanders hana nguvu kiviiile kupambana na wagombea wa Republican wanaopigiwa upatu kam Trump na Ted Cruz so ningekuwa wewe ningesubiri kwanza kwani uchaguzi uko hatua za awali kabisa naddhani karibuni wanaenda jimbo la pili New Hampshire ukiacha lile la IOWA .Hold your guns!
Kumbe Ukiambiwa wew ni mvivu maana yake ni umetukanwa!Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.
Donald Trump hana ajenda zaidi ya kutukana Waislam, waAfrika na kusifu Utajiri wake.
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.