Ni bebe x2

Huo mzigo mpaka utumie grader.Kama ni chips mayai utakuwa unatania.
 
Dah! Huo mzigo balaa!
Wiki mbili zilizopita nilimuona sista mmoja kamzidi huyo kidogo na bwanake naye bonge hivyo nikafikiria hawa lazima walale kwenye godoro chini hamna kitanda cha kuhimili mikiki yao.
 
Mizigo kama hii si yakwenda nayo guest house unaweza pata kesi ya kuvunja kitanda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…