Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

Wadau,Matumizi ya simu na maujajanja yake yametofautiana sana yaani wengine wako Form Six wengine Diploma na wengine PhD, hasa linapokuja suala la Smart phone.

Mfano LIVE FOOTBALL TV kwangu ni app ambayo ukiwa nayo tu unaweza kucheki soka hata kama uko kwenye Daladala na Mambo yakaenda sawa kinoma.

Dondosha App(s) yako ambayo unaitumia sana halafu inakufanya uone kumiliki Smart Phone kwako ni kitu Bomba sana.
Mimi linkedIn na Upwork ndizo apps zangu muhimu bila kusahau app ya gmail. Nyngne hata zikikosa sitojali sana
 
Mkaruka pole sana rafiki,nahisi kabisa bado hujapata mtu wa kukuelwesha kuhusiana na hilo,usijali kama una muda tuwasiliane kuna kitu utajifunza. Kama unaamini biblia kuna jambo utajifunza ambalo huwa halizungumzwi mara kwa mara.
Karibu
 
Ndio nini hiki kwenye thread hii.
 
Back
Top Bottom