1. Keynote
2. QuickOffice Pro HD
3. Haiku Deck
4. SlideShark
5. Power Presenter
6. SlideIdea
Mkuu the best hapo ni ipi kwa kufundishia?
Hiyo keynote ni nzuri sana, ina layouts na features zingine nyingi na ni simple kuitumia,,nadhani watakuwa wameshatoa version mpya iliyo stable zaidi,,ukilinganisha na hizo zingine, it has to be the best of them ol kwa sasa, no need to carry a laptop kwa swala la presentation tu!
hii hapa Keynote by Apple https://appsto.re/gb/ODmIv.iMkuu ukienda kwenye app store ukasearch "keynote" zinakuja result nyingi kwelikweli.