Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
makonda bungeni hafai, atanyofolewa mtu meno especially spika wa bunge.
Wale wale tu.Basi aka Tumbiri 😂
🤣Umemeza ugali wamoto
Makonda anaingia bungeni na anapewa wizara..Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika
Ngoja tuone 😂😂🔥
Sio ndugu yetu wa JF bwana Lucas Mwashambwa kada mtiifu chawa kindakindaki😃😃😃Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika
Ngoja tuone 😂😂🔥
Uko sahihi lakini shida ni fulsa mkuu so mtu ambae hajawahi kuwa kiongozi ukimuuliza mambo ya nchi atadadavua vizuri sana ila mtu huyo huyo akishapata nafasi anajisahau coz ya wasomi wengi ni watu waliotokea kwenye uchumi wa chini na wakati kwahiyo wanajikuta wako trapped hapo katikati so badala ya kufanya mambo ya kusaidia wananchi kwa weledi wanafanya mambo kwa kuangalia maslahi ya ugali wao Kwanzaa then wananchi ndio wanafuata,Kuna wabunge wachache sana wanaostahili kuwepo kwenye Baraza la Mawaziri katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inahitaji akili kubwa ili zituvushe katika changamoto hizi za dunia yetu hii kiuchumi.
Pia tuna wanasiasa wachache sana wenye uwezo ambao wanastahili nafasi hizo za juu katika dunia hii ya ushindani.
Mwisho Tanzania tuna mkwamo wa asili unaosababishwa na Katiba mbovu inayowaweka wanasiasa kuwa juu ya watendaji. Na hapo ndo tatizo kuu lilipo!
Siasa ni fursa
Msigwa ameshalamba uteuzi ni mkuu wa kitengo cha siasa za majitaka aka mzee wa kazi chafuMmeanza ramli zenu.
Kwa hiyo Msigwa ndio anaonekana anafaa kuliko wanaCCM wote ambao wamekipigania chama ikiwemo kumshawishi Msigwq ahamie chamani! Ama wanaCCM hawana uwezo wa kuwa viongozi hadi tusubiri wanaokuja kutoka vyama vya upinzani?