Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
wapo busy na issues zao mkuu. Hawa wengine wanategemea baba akohoe wao wapate tujisenti kodogo.Ni kweli. Kama wapo basi wanajiheshimu sana! Ama wamelelewa kimaadili sana kiasi kwamba publicity kwao si ishu
Wapo kweli?ila kuna kipindi nliskiaga ben anaharusi ya kijana wake !!!!!!!
Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi wenzangu?
Niliwahi kumuona mmoja kwenye East Africa Tv, tena kafanana kweli na Ben!
Hata wa-Nyerere wamekuja kuwa "public" baada ya Baba yao kug'atuka..
Mkapa anawalea watoto wake ili wajilee wenyewe na si vinginevyo - kwa hili nampa tano!
Mwinyi ilikuwa lazima kuacha mtoto wake kwenye "system" kwa sababu ya "u-Zanzibari..
Kikwete nadhani na kabila lake na tabia zake inachangia watoto wake kuwa kama walivyo..
Ijumaa Njema...
kweli hata mimi nilisikia kijana wake anaoa-ila zaman kidogo-sijawai ona picha za hio harusi-nazani kamera zilikuwa monitored vizuri sanaWapo kweli?ila kuna kipindi nliskiaga ben anaharusi ya kijana wake !!!!!!!
Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi wenzangu?
Mi simo, hapo mmefika mbali, issue ya kuzaa au kutokuzaa ni mpango wa mungu, mshukuru mungu kwa kuwa we una watoto, you can't know why you have or you haven't. Issue za nature naomba tusizijadili, kwani unaweza ukapata watoto na wote wakalaliwa na kontena barabarani! Hayo mwachie Mungu!