Ni ajabu,lakini ni kweli pia

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Haya ni matukio/mambo katika picha ambayo sio rahisi kuamini
kama yametokea/yapo lakini yapo kweli.


Huyu jamaaa ni maarufu kwa kucheza na nyoka,hicho ndicho kipaji chake na kina mpa kipato


Hizi sio ndizi bukoba wala moshi,....zipo Tarime,...karibu ujionee


Katika hii ajali inasemekana dereva alitoka akiwa mzima kabisa,....
chaguo ni lako,amini au usiamini ila ndivyo ilivyokua

Ongeza mengine.............
 
Huyu inasemekana alikua na uzito wa kilo 170kg,....lakini hapo alipo ana 12kg.
Inasemekana ni kiharusi,........sijui sana kuhusu ugonjwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…