Man mimi ya kwangu ni LG bt kuna madogo walikuwa na sherehe nikawaazima. Tangu wamenirudishia ilianza inapiga na kukata inapiga tena inakata but now haipigi kabisa.Brother mim ni fundi wa haya masabufa
kifupi nafaham a~z ya hizi mambo
kwanza fahamu kuwa seapiano au aborda sio kiwanda cha kutengeneza sabufa ila ni suply tu wa masabufa yani anachukua toka shanghai china na india huko
alafu wanazipa stika ndo wewe unaona hiyo sea piano au aborda
kitu muhimu kufata brother kuna seapiano furani adimu kwa sasa ila ziko poa SANA yani nasemea kwenye hardware zake yani circuit yake
kuna sabufa hasa zakisasa yani hardware yake circuit yake ipo kama ya simu hivi
hyo redio usijaribu kununua sababu ikiharibika hazitengnezeki
jinsi yakuijua ukifika dukani igeuze nyuma huku ...ukikuta ina kiplastiki furani cha pembe nne hivi p ambapo hapo kwenye kiplastiki pana pini za kutolea twita na aux pembeni kuna nati iyo usinunue
ila ukikuta nati zipo pembeni kabsa hyo waweza nunua
ukiweza ni pm nkpgie nkupe maelekezo vema
Voxser empire
Thanks mkuu!Usiskize maneno ya kishabiki! Hometheatre ni zaidi ya Hi-Fi kwa ufanisi. Nakurahisishia Chaguo.
Kama unapenda zaidi mziki ama matumizi yako yatakuwa ya mziki hasa loud music ambao ukifungulia sauti ya juu kabisa mziki utasikika mtaa mzima basi Hi-Fi system is the way to go ila kwa movies itakuwa haina ufanisi kama hometheatre. Inshort kama wewe ni music fanatic tu nunua Hi-Fi system.
Ila kama matumizi yako yatakuwa combined nunua hometheatre system yenye nguvu atleast 1000watts i recommend "Sony" ama "Panasonic" itakuwa loud enough. You will get the best of whole worlds ikiwa ni muziki mzuri na movies za kusisimua.
alafu technology ya subwoofer nyingi sauti inaenda mpaka mtaa wa pili , wakati hizo za bei sauti hubaki ndani ya nyumba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakata yote au bass yake!?Man mimi ya kwangu ni LG bt kuna madogo walikuwa na sherehe nikawaazima. Tangu wamenirudishia ilianza inapiga na kukata inapiga tena inakata but now haipigi kabisa.
Inawezekana hilo ni tatizo gani?
Wema ni akiba.
Kwani mkuu sauti unataka isibaki ndani ya nyumba we unataka ifike wapi???au ni mimi sijaelewa point yako labda?!
Kwamba uwaburudishe walio nje ya nyumba yako wakati umeme unanunua mwenyewe au sometimes uwakere sasa kuna faida gani?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
kwa kuongezea tu kwamba home theater ina mini hi-fi ndo maana kwenye setting wameweka movie na music km unasikiliza muziki unaweka music ila najua watu wengi hawalijui hilo. hata mimi nakushauri chukua home theater kuanzia watt 1000 blue ray, kama ni sony nunua kwa authorized dealer maana kuna feki nyingi.Usiskize maneno ya kishabiki! Hometheatre ni zaidi ya Hi-Fi kwa ufanisi. Nakurahisishia Chaguo.
Kama unapenda zaidi mziki ama matumizi yako yatakuwa ya mziki hasa loud music ambao ukifungulia sauti ya juu kabisa mziki utasikika mtaa mzima basi Hi-Fi system is the way to go ila kwa movies itakuwa haina ufanisi kama hometheatre. Inshort kama wewe ni music fanatic tu nunua Hi-Fi system.
Ila kama matumizi yako yatakuwa combined nunua hometheatre system yenye nguvu atleast 1000watts i recommend "Sony" ama "Panasonic" itakuwa loud enough. You will get the best of whole worlds ikiwa ni muziki mzuri na movies za kusisimua.
Hahahah hatari sana hio mashine, weka mbali na watoto inakita kama inataka kuvunja nyumbaSONY MUSIC SOUND SYSTEM...... HII WEKA MBALI KABISA NA WENZAKE HABARI NYINGINE HII
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu si watu wanataka mtaa ujue kwamba wanamiliki sound za hatari. Hii ilikuwa sana enzi zile tunakua kitaa wazee wakitoka unablast mziki ili kuwanyoosha machalii zako ambao kwao redio ndogo!Kwani mkuu sauti unataka isibaki ndani ya nyumba we unataka ifike wapi???au ni mimi sijaelewa point yako labda?!
Kwamba uwaburudishe walio nje ya nyumba yako wakati umeme unanunua mwenyewe au sometimes uwakere sasa kuna faida gani?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Imeitwa Hi-Fi kwa sababu imeundwa kwa mfumo wa channel 2.1 ambayo ni Left and Right Stereo Channels with bass speaker!subwoofer langu seapiano ni HI-FI maana yake ni high fidelity sijui nyinyi mnaongea nini? high fidelity ni uwezo wa speaker kureproduce sauti katika ubora wa hali ya juu , me subwoofer langu linaipita hata subwoofer zingine za sony za bei kubwa sana , nafahamu technology kama dobly atmos au dts ambazo hutumika katika 3D sound , lakini technology hii bongo bado sana labda mpaka upate content zinazoweza kutumia hiyo technology na mara nyingi technology hizo zinapatikana kwenye movies tena sio movie za kawaida ni zile za kununua ambazo unakuta zimeandikwa 3D sound supported au dobly atmos lakini hakuna tofauti yoyote na subwoofer yenye HI-Fi kama utakuwa unapiga nyimbo za kina daimond na dogo aslay labda upate nyimbo za kwenye album ambazo zimetengenezwa special kwa technology hiyo na mziki wako uwe una support.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una point fundi ila wacha nikuweke sawa kidogo, mie pia nilishamiliki hizo subwoofer 2 kabla sijahamia kwenye hometheatre.Brother mim ni fundi wa haya masabufa
kifupi nafaham a~z ya hizi mambo
kwanza fahamu kuwa seapiano au aborda sio kiwanda cha kutengeneza sabufa ila ni suply tu wa masabufa yani anachukua toka shanghai china na india huko
alafu wanazipa stika ndo wewe unaona hiyo sea piano au aborda
kitu muhimu kufata brother kuna seapiano furani adimu kwa sasa ila ziko poa SANA yani nasemea kwenye hardware zake yani circuit yake
kuna sabufa hasa zakisasa yani hardware yake circuit yake ipo kama ya simu hivi
hyo redio usijaribu kununua sababu ikiharibika hazitengnezeki
jinsi yakuijua ukifika dukani igeuze nyuma huku ...ukikuta ina kiplastiki furani cha pembe nne hivi p ambapo hapo kwenye kiplastiki pana pini za kutolea twita na aux pembeni kuna nati iyo usinunue
ila ukikuta nati zipo pembeni kabsa hyo waweza nunua
ukiweza ni pm nkpgie nkupe maelekezo vema
Voxser empire
Inakata yote au bass yake!?
Voxser empire
Mkuu mi naimba unifundishe baadhi ya ya mamboBrother mim ni fundi wa haya masabufa