Ni aibu sana kwa chama kikongwe kama CCM kutumia polisi kujisitiri

Mda wa Uchaguzi Ulishaisha CHADEMA Mko busy na Mikutano Haramu. Mtapigwa tuu!

Ila yule aliyeolewa Mombasa ni Mbunge wa Jimbo gani Kigoma??Au Bulembo na Pole pole naona.ni wabunge??

Ukiwa myongo usiwe msahaulifu.Akili za Makinikia ni shida kweli kweli mpaka mnaona haya kwa upumbavu mnaoufanya
 
Mikutano haramu ni IPI embu tuambie,sababu tunavyojua shughuli za kisiasa zimeruhusiwa kikatiba

Mikutano haramu ni ya Chadema tu,ukiwa ya CUF CCM aka CUF Lupumba rukhsa,Iowa ya wale walioolewa Mombasa aka Shaka ni rukhsa.

Usijipe tabu bure.Chama cha Makinikia wanachama wake wote wana akili za Makinikia
 
Ila yule aliyeolewa Mombasa ni Mbunge wa Jimbo gani Kigoma??Au Bulembo na Pole pole naona.ni wabunge??

Ukiwa myongo usiwe msahaulifu.Akili za Makinikia ni shida kweli kweli mpaka mnaona haya kwa upumbavu mnaoufanya
Astaghafillulah !
 
Naomba nithibitishiwe huu uvumi wenye ukweli uliozagaa nchi nzima mithili ya moto wa nyikani .

Kwamba kwa hoja ccm ya leo haina lolote mbele ya vyama vya upinzani , kwamba tegemeo lao kubwa ni polisi na vyombo vya dola kwa ujumla ?

Kwanini chama kikubwa namna hii kinaogopa hata mikutano ya udiwani tu , kiasi cha kuitumia NEC kuhujumu wapinzani ?

Ni aibu sana kwa chama cha siasa kutegemea msaada mwingine nje ya siasa yenyewe
 
Ccm haina wala haimiliki polisi bali inaongoza serikali inayomiliki jeshi la polisi na majeshi mengine km magereza uhamiaji n.k.

Ikitoka madarakani chama kitakachoingia madarakani kitalikuta jeshi la polisi na kuongoza serikali kwa mujibu wa sheria huku jeshi hilo likiendelea kureinforce sheria za nchi.
 
Kuwepo kwake madarakani ni kutokana na msaada wa nje ya uwanja wa polisi ?
 
Kuna wakati wasemaji wa polisi wanakuwa kama wasemaji wa ccm , hii ni kwanini ?
Inategemea na tafsiri ya msikilizaji wa kinachosemwa lkn ndani ya jeshi la polisi hakuna tawi wala kiongozi wa ccm labda ungetoa mfano ili tujadili.
 
Inategemea na tafsiri ya msikilizaji wa kinachosemwa lkn ndani ya jeshi la polisi hakuna tawi wala kiongozi wa ccm labda ungetoa mfano ili tujadili.
Huko Same Mzito sana aliyestafu polisi juzi kaukwaa uenyekiti wa ccm Wilaya , Absalom Mwakyoma kawa Mwenyekiti wa Kata wa ccm , unataka tena ?
 
Back
Top Bottom