Ni aibu sana kwa chama kikongwe kama CCM kutumia polisi kujisitiri

MaCCM yana haki ndani ya Tanzania kufanya mikutano, MaCCM yanazunguka nchi nzima kufanya mikutano ya siasa. CHADEMA hapana. Halafu bi, Chokochoko anatubania pua ”umoja tuwe wamoja”
MmakuMmaku mkubwa, mnuka shombo la SAMAKI Feri.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
 
Mwaka 1992 Nchi ya Tanzania iliukubali rasmi MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA , ikatungwa sheria mpya ya vyama vya siasa na kuruhusu Kusajiliwa kwa vyama mbalimbali vilivyokidhi matakwa ya sheria hiyo mpya , ili kuviruhusu rasmi kuingia kwenye ushindani wa sera na kuziuza kwa Wananchi kwa lengo la kupigania kuongoza nchi kwa njia ya kidemokrasia .

Nachukua nafasi hii kuwashukuru viongozi wa wakati ule kwa kuruhusu mfumo huu wa kisasa wa kuendesha nchi .

Kwenye kila jambo zuri kuna upande wa ubaya wake , kitendo cha viongozi kuruhusu mfumo huu wa kisasa ikageuka kuwa NDIO KABURI LA CCM nchini , wananchi wakafundishwa jinsi ccm ilivyoleta dhiki na mkusanyiko wa shida zote katika nchi hii , na kwa kauli moja wakakubaliana kuiondoa ccm madarakani , yaliyotokea ni historia .

Baada ya kitendo hicho ccm imestuka na kutambua kwamba HAINA TENA UWEZO WA KUSIMAMA JUKWAANI NA KUWAAMINISHA WANANCHI KATIKA JAMBO LOLOTE , hivyo ikaamua kutumia JESHI LA POLISI KUUA DEMOKRASIA NCHINI KWA GHARAMA KUBWA SANA YA JASHO NA DAMU ZA WAPINZANI .

Yanayotokea nchini kila mmoja ni shahidi .
Wanasiasa wa upinzani wanaogopwa na ccm kuliko hata umasikini , njaa na maradhi .

Itoshe tu kusema kwenye jukwaa la siasa la Tanzania , BILA POLISI CCM NI WEPESI KULIKO PAMBA .

KWA SASA POLISI NDIO MWAMVULI WAO WA KUJISITIRI NA MAFURIKO YA WAPINZANI .
Mwamvuli wa ccm ni polis bila hao ccm haipo kabisa hapa dunian
 
Ccm imebaki kusaidiwa na polisi hata wao wanalijua hilo lkn wana mwisho wao kama empire kubwa zilianguka hata ccm itaondoshwa cku moja tumeishaichoka
 
Back
Top Bottom