Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,809
- 8,970
Yaani sijawahi ona hii tabia mbaya kabisa! mtu anafka kituoni kujaza gesi anabanwa na haja anakwenda kuomba msaada wa kujisaidia wanamwambia choo hakuna! Kweli jaman ndio tumefkia huku!?
Unamnyima mtu kwenda haja! je nyie TPDC mnajisaidia pori la Chuo?
Hivi Serikali huwa mnaajiri watu wenye uelewa wa aina hii mnafikiria nin! choo kweli unamnyima mtu! mbona vituo vingine vya CNG vyooote wana vyoo iweje nyie chenu mfunge kisitumike? Au ni maelekezo ya Rais basi tuseme