Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.
Kakobe amefanya alichokifanya Yesu...amepindua meza ya jambazi!
 
ilani ya chama chako si unaisoma kila mara imekusaidia nini hadi kuja kushawishi watu kuwa kakobe alikosea? pia elewa serikali ndiyo inacontrol uchumi na siyo dini na kama ingekuwa dini watu wasingekuwa na hayo yanayowasumbua.

Je unajua nini maana ya freedom of speech ni nini? au katiba husomi tukusaidie, maana naona wewe na font fet hamuelewi katiba inaruhusu mambo gani na kukataza mambo gani
Ukweli sisomi katiba yoyote ile. Feedom of speech ni sawa,lakini ikiwa na effect kwa wasikilizaji hupendeza zaidi.
Back to the point,Askofu wangu amejihesabia haki sana,kujivika kiatu cha Mungu kwa kumwamuru mtu atubu siyo fundisho la biblia. Kwani ajidhaniye amesimama....,ni wajibu wa mtumishi kumuombea mfalme hekima,na kwa hekima atayajua makosa yake na kuyaungama kwa hiari yake.
Huo ndiyo ujinga wangu unavyonipa kuamini.
 
Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.
Kama yule mpuuzi mwenzenu wa jumuiya ya wazazi mkoa wa dar tu
 
Ukweli sisomi katiba yoyote ile. Feedom of speech ni sawa,lakini ikiwa na effect kwa wasikilizaji hupendeza zaidi.
Back to the point,Askofu wangu amejihesabia haki sana,kujivika kiatu cha Mungu kwa kumwamuru mtu atubu siyo fundisho la biblia. Kwani ajidhaniye amesimama....,ni wajibu wa mtumishi kumuombea mfalme hekima,na kwa hekima atayajua makosa yake na kuyaungama kwa hiari yake.
Huo ndiyo ujinga wangu unavyonipa kuamini.
mkuu hata biblia hausomi pia nakuona mweupe, unakumbuka kwa nini yohana mbatizaji alikatwa kichwa?
jibu: yohana alimwambia mfalme kutubu kwa dhambi ambayo ilikuwa kuchukua mke wa ndugu claudia. Hivyo basi jukum la kuonya wanalo haijalishi ni nani awe muumini au rais anaonywa

soma hapa pia paulo anamwagiza timotheo afanye yafuatayo, na hiki ndicho kakobe kakifanya nakushauri usitumie biblia kidini wala kichama utatoka mweupe kama karatasi
1Timotheo 4: 13 Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma na kuonya na kufundisha.
 
Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.
Nilidhan ungesema ni aibu kiongozi wa nchi kutoa muelekeo wa nchi inayojidai haina dini kumbe ni aibu kwa kiongozi wa dini tuu hovyo kabisa
 
Angesema watanzania wote tufunge mpaka mwaka 2020 kumuombea mngesema huyu ndiye Mtumishi wa Mungu hata Kama anayeombewa ni shetani anayewapeleka waumini jehanamu.
 
mkuu hata biblia hausomi pia nakuona mweupe, unakumbuka kwa nini yohana mbatizaji alikatwa kichwa?
jibu: yohana alimwambia mfalme kutubu kwa dhambi ambayo ilikuwa kuchukua mke wa ndugu claudia. Hivyo basi jukum la kuonya wanalo haijalishi ni nani awe muumini au rais anaonywa

soma hapa pia paulo anamwagiza timotheo afanye yafuatayo, na hiki ndicho kakobe kakifanya nakushauri usitumie biblia kidini wala kichama utatoka mweupe kama karatasi
1Timotheo 4: 13 Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma na kuonya na kufundisha.
Unaelewa nini kuhusu hekima?kwa hiyo ungependa kukiona kichwa cha Kakobe katika kombe,siyo!
 
Walio na hekima huchagua kufa kuliko kukana ukweli.

Ila staki kuamini kuwa Magufuli anaweza kuua mtumishi wa Mungu anayemwambia atubu. Siamini hilo!
 
Hiyo hekima Mungu asinipe aisee!
Hiyo ndiyo hekima ya Kimungu iliyowaongoza wengi kutolea maisha yao kama mashahidi wa ukweli.

Mandela alifungwa kwa ajili hiyo, Nyerere alifungwa pia kwa ajili hiyo, Abraham Lincoln aliuliwa kwa ajili hiyo, J. F. Kennedy pia aliuliwa kwa ajili hiyo...
 
Aisee,na unahakika walitumwa na Mungu. Basi sawa. Hili ndilo ombi langu kwake "asinipe".
 
Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.
Manina mmepatikana safi sana kakobe..

Viongozi wa dini wakihamasisha watu kujenga shule sawa hawaingilii wizara ya elimu.

Wakihimiza watu waache wizi na vitendo vibaya wahaingolii kazi ya jeshi la polisi

Wakikosoa viongozi wa siasa WAMEINGILIA NA KUCHANGANYA SIASA NA DINI. LOL PUMBAVU
 
Viongozi wa Kiroho au wa Kidini ni sehemu ya Jamii ya Watanzania.....!!!
Na ndiyo maana Rais Magufuli mwenyewe kiila siku anasema wamwombee........!!!Ni kichekesho kuwaambia Viongozi wa Kiroho wamwombee Rais Magufuli lakini wanapomwambia kuwa anakiuka Katiba kwa kukandamiza upinzani anaanza kuwatukana, kuwatisha na kuwafuatilia Uraia wao....!!1

Maneno ya Tundu Lissu yana ukweli mtupu, kwamba'' Tanzania tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea...."
 
Aisee,na unahakika walitumwa na Mungu. Basi sawa. Hili ndilo ombi langu kwake "asinipe".
Kuna watu wanaishi kwa ajili yao wenyewe tu. Hao husahaulika mara wanapokufa. Kwa kauli zako wewe umethibitisha kuwa ni mmoja wao.

Lakini kuna watu wanajitoa kwa ajili ya ukombozi/matatizo ya jamii zao, hao wanafanya kazi iliyotukuka na daima hukumbukwa kama mashujaa. Mandela, Nyerere, Lincoln, na Kennedy NI MASHUJAA wa jamii zao.
 
Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.
naona hujitambui kama maiti
 
Kwa Hili siwezi kukupinga mkuu,ila tu unaamini kila shujaa yuko na Mungu? Niamini tafadhali hata shetani ni shujaa pia,usidhani ilikuwa rahisi kukataa kusujudu mbele za Mungu. Why should I fight your cause even if it doesn't appeal to my belief. Pambana kama unaona uhuru wako unatishiwa ila usinipeleke ktk vita yako!utashinda tu bila mimi.
 
Habari wanabodi,

Tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli kutangaza vita kubwa ya kiuchumi dhidi ya rushwa, wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada ambao wanaharibu vijana wetu. Mh rais amegusa maslahi ya kundi kubwa sana lenye mtandao mpana wenye nguvu ambao hadi leo unatafuta kila namna kumchafua Rais na juhudi zake nzuri za kufanya ukombozi wa kiuchumi.

Kundi hili la wapiga dili linajaribu kutumia watu wenye image na influence kubwa katika kutekeleza mipango yao haramu na kila njia ili kuihujumu Tanzania.Watu hao wanaotumika ni kama wanasiasa uchwara kama tulivyokuwa tunaona kwa mh wa Nairobi pia hawakuishia hapo wakaenda mbali hadi kutumia viongozi wa kiroho tumeshuhudia jinsi gani baadhi ya viongozi wa kiroho wakiitupa injili na kutumika kisiasa kuchafua Serikali yetu pendwa ya awamu ya tano .

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kuacha kondoo wa wakipotea na kutumika kisiasa.

Watu wengine hovyo kabisa, Mtumishi wa Mungu ametoa hoja za msingi; wewe unabwabwaja tu hapa. foolish.
 
Papa Francis naye ametoa kauli ya kuwatetea wapelestina katika mzozo wa mji wa Jerusalem.
Kumbe viongozi wa dini ni watetezi wa wanyonge
 
Back
Top Bottom