Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Mkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptopMtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Vp mkuu.....unawashauri....au unawafokea[emoji23][emoji23]Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
😂😂 harafu anasema miaka yote mnayokuwa chuo mnashindwa kuwa na laptop hawa ndio wale wanaopata mkopo na bado wanawadanganya wazazi wao hawapati mkopo wanapewa hela bado na wazazi waoMkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptop
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Are you serious?Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Nilivyomaliza tu Chuo, nilimpa dogo laptop na sijawahi miliki tena..ni hizo simu tu za mtoa mada 250k+, yeye anahisi watu wote wanaitaji milaptop huku mtaani..Mkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptop
Ni kweli kabisa. Hizi stupid phones haziwezi kutumika for study and research. Mtu msomi anahutaji laptop.Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Kitu gani smartphone itashindwa kufanya, au hujui kutumia smartphone?Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.